Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo shouzzz hajui hata, go on nikitoa mie uhakika, km mie muongo wee hayaa.
Kwaiyo ukataka utoe hints ajipigie mishindo haha

Kwaiyo ungemuelekeza mpaka getini mjengoni coca
 
Naomba ulalee uduguuu, sitakiii kuona unalumbana na watu humu. Itaonekana wee ndo mgomvi.

Huyo yuko ktk crew yao, na yuko karibu sana na yeye. Achaa bhana.

Ndo nampa kwamba ni WABAYA WABAYA WABAYA hata waungane wote bado sana’aaaa

Watu wa Kongo wenye vigimbi vyao sura zimenyata [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Afu kesho wakinitibua nawaleta live [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata usijali kesho nikumbushe nimwambie dogo anitumie nikutumie shem wala usijali
Sasa huyo anashida na vochaa, nipee miee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kablaa hujampaa nipe notifies mie kwani.
 
Sasa huyo anashida na vochaa, nipee miee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kablaa hujampaa nipe notifies mie kwani.
Nina shida na vocha za shem wangu ni maalumu hizo shem tumetoka mbaliii
 
Umeshakuja kuchafua hali ya hewa kivuruge kwa kuniharibia sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukishapokeaaa itume kwangu 1 kwa 1, kwani habari si atanipaaa, utanambia umepeleka wapiiii.

Cute Wife uduguu zingatia maokotooo.
 
Uduguuu usimpee huyooo, itume kwanguu.
Yaan ukimpaaa ntakubondaaaa wee.

Usimpeeee, usimpeeee usimpeeee.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tulia wewe tunampa moyo boss
Kazi ya kuwamwagia watu vocha humu mchezoooo mpk wanaselfika na vichwa vyao vya mbuni ili kumfirahisha boss asichoke kuwapa vocha za jero [emoji2222][emoji2222][emoji2222]

Afu shem mnafki eti mzuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndo nampa kwamba ni WABAYA WABAYA WABAYA hata waungane wote bado sana’aaaa

Watu wa Kongo wenye vigimbi vyao sura zimenyata [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Afu kesho wakinitibua nawaleta live [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu kwann lakiniii?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukishapokeaaa itume kwangu 1 kwa 1, kwani habari si atanipaaa, utanambia umepeleka wapiiii.

Cute Wife uduguu zingatia maokotooo.
We hutaki na mimi nihongwe?
We unajua raha tunapa wanaume tukihongwa na mwanamke
Alaf mwanamke mwenyewe ana mihela kama shem wangu Cute Wife
 
We hutaki na mimi nihongwe?
We unajua raha tunapa wanaume tukihongwa na mwanamke
Alaf mwanamke mwenyewe ana mihela kama shem wangu Cute Wife

Shem natoa mtaji wa vijora ujue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sina pesa yoyote njaa tupu
 
We hutaki na mimi nihongwe?
We unajua raha tunapa wanaume tukihongwa na mwanamke
Alaf mwanamke mwenyewe ana mihela kama shem wangu Cute Wife
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni dalili mbayaa kabisaa hii.
Wee hebu pepo litoke, sio mchumba angu naemjua mie huyu.

Khaaaah
 
Back
Top Bottom