Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
Wewe ni mmoja wao. Alafu hizi mambo nilisema niachane nazo Ila naona mnaandika sana unafki.Mkuu hao wenzake SI unge wataja, coz naona mna peana attention ya ki jau jau.
[emoji117]Mme kua bhana, SI teenagers tena guys.
[emoji117]Kama Kuna mtu kazingua mtaje, ila kupigana vijembe nalo ni tatizo kichwani.
[emoji117]Pengine watu mna histrionic personality disorder [emoji850]
Hahahaha, vijana banaSasa mwanaume aseme Kuna watu Wana mtaka demu wake🤔.
👉Demu nae ana lalamika Kuna watu wanna mtaka bwana wake🤔.
👉For real si utoto huu, Kama hamuwezi kuwataja- kunyweni maji mlale.
tulieni sasa😂Halafu USI mwambie bro yangu mshamba_hachekwi ana taka kuuvua ubingwa..
,👉Kwanini aSI vuliwe Dem wako anaye lalamika, the whole fucking day🤔
Mtaani huku ndio mambo moto hapa kujifurshisha tu 😀😀Ntaani nchale ukirudi jf nchale
Yaani nyie mna histrionic personality disorder,
[emoji117]Hai wanao hangaika kina nani??, Wataje Kama una hisi wapo[emoji848].
[emoji117]So mna zunguka Kama waimba taarabu.
We nae acha kukae kizembe, somebody is insulting you🤔.wala hata sihusiki, navhangamsha genge tu
Wewe na wenzio wote mna tabia za kike. Alafu unaandika unafki hapaSasa mwanaume aseme Kuna watu Wana mtaka demu wake[emoji848].
[emoji117]Demu nae ana lalamika Kuna watu wanna mtaka bwana wake[emoji848].
[emoji117]For real si utoto huu, Kama hamuwezi kuwataja- kunyweni maji mlale.
Muambie beans ako analo🤔Wewe nawe unahangaika leo?? Emu selfika kwanza tuone wowowo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu USI mwambie bro yangu mshamba_hachekwi ana taka kuuvua ubingwa..
,[emoji117]Kwanini aSI vuliwe Dem wako anaye lalamika, the whole fucking day[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu ongeza sautiiiiiiii mtaa wa pili hawajasikia uko
Haya waambie na wale wanaokuja piem kwako kuleta picha zangu
Muambie beans ako analo[emoji848]
Unafiki upi, attention seeker wewe.Wewe na wenzio wote mna tabia za kike. Alafu unaandika unafki hapa
Naamini umeelewa
Kimeumanaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni mmoja wao. Alafu hizi mambo nilisema niachane nazo Ila naona mnaandika sana unafki.
Acheni hizi tabia. Haya mambo mengine waachieni wanawake wayafanye. Naamini umenielewa, usitake niwape watu faida
Hakuna genge unachangamsha kwa kuweka uanaume pembeni. Najua unajua sijaandika hivi kwa bahati mbaya, unachofanya nakijua. Sikutaka kufika huku, Ila naona mnaandika sana unafkiwala hata sihusiki, navhangamsha genge tu
Najua Jamaa yako analo la kimataifa🤐La kwako kubwa sana linafaa kuselfika
Antonnia shouzzzz ake njoo hapaaa, uduguu wetuu kakutwaa na jamboo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya ukujee ujioneeee manjegekaa ya Selfikaaa, woiiiiiiiii
😂😂😂Upo aunt yanguKimeumanaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmoja wait Kwenye nini???, Taja sababu Kama kweli kidume.Wewe ni mmoja wao. Alafu hizi mambo nilisema niachane nazo Ila naona mnaandika sana unafki.
Acheni hizi tabia. Haya mambo mengine waachieni wanawake wayafanye. Naamini umenielewa, usitake niwape watu faida
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kivumbi leo.