Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi sina mwezangu na kama kitu nafanya mimi hapa basi nafanya kwa maamuzi yangu ndio maana nilikwambia kama unaona mtu anakosea sehemu mfwate mwambie private na sio hadharani mbele za watu kutafuta sifa uko sio kurekebishana ni kufedheheshana mzee wewe umeona mm nakosea nifwatw niambie uamuzi uwe ni wangu kuacha au kuendelea
 
Kwakweli ni debate 😀😀
 
Mkuu hao wenzake SI unge wataja, coz naona mna peana attention ya ki jau jau.
👉Mme kua bhana, SI teenagers tena guys.
👉Kama Kuna mtu kazingua mtaje, ila kupigana vijembe nalo ni tatizo kichwani.
👉Pengine watu mna histrionic personality disorder 🤐
 
Guys mnaohangaika niliwaambia mapema kwa mm na cute wife mtatumia nguvu nyingi but haitawezekana. Nipo hapa kurudia tena, she's mine
 
Antonnia shouzzzz ake njoo hapaaa, uduguu wetuu kakutwaa na jamboo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Fanya ukujee ujioneeee manjegekaa ya Selfikaaa, woiiiiiiiii
 
Wewe jamaa umebakiza kilomita chache sana kuvua ubingwa.

Lazima mkubali kuna mambo yanapaswa kufanywa na wanawake, wanaume haitakiwi hata kidogo. Acheni
Halafu USI mwambie bro yangu mshamba_hachekwi ana taka kuuvua ubingwa..
,👉Kwanini aSI vuliwe Dem wako anaye lalamika, the whole fucking day🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…