Selfika na JF: Snap it. Show it

Hujacheka vzr nakwambia ni shida humu!! Nimeshangaa mpk ss hivi ile sura ya mwanamke kweli au alikimbia kupachikwa dyudyu kabla hajakauka wakati wa uumbaji??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utajijuuuuuuuuuu, na sina cha kusema mnajuanaa wenyeweee na manjegekaa yenuuu.

Umefikiwa na weyeeee eeeh?
 
Usijali namsubiri ataje yeye location wapi akazione NDOIGE live zinavyorushwa [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaa!!!
 
Haha unanikumbusha enzi nalitumia boom lote 450k kwa weekend mmoja!

Nilikua nikifika kina mawazo wananipapatukia nikizama ndichi utasikia Hawa ndo vidume Sasa wameingia.

Then kesho chuo mwanzo mwisho wali maharage 600 na kushindia mkate na chai. Zitatua hizi cc sumbai
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utajijuuuuuuuuuu, na sina cha kusema mnajuanaa wenyeweee na manjegekaa yenuuu.

Umefikiwa na weyeeee eeeh?

Bwana shamba ulimuona lkn?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jana ulikuwa wapi?? Nawe unaswampa mno [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu niwacheeeee, heka heka za JF nimestaafu, hakuna jipya kwangu humu ndani.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umefikiwa uduguuuu, woiiiiiih
 
Na wewe umetokea wapii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125]
Utajijuuuu na manjegekaa yakooo, nimetokea niliko kuwepoooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu niwacheeeee, heka heka za JF nimestaafu, hakuna jipya kwangu humu ndani.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umefikiwa uduguuuu, woiiiiiih

Hawajanifikia ila wanaforce kunifikia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilichogundua hawali wakashiba
 
Mpk wanaume wana vigroup wameungana na wadada kazi yao ni umbea tu!!! Wanakuja piem wanatongoza afu wanasambaza chat na pic zako!! Kuna wengi nimewaona huko piem wanaleta

Tena hii niko serious ladies kuweni makini piem mtaabika nawaambia
Hiki ndio nilitaka kufanya siku ile mkasema hayo niachane nayo, hawa wanaume wenye ukike kike nilipaswa siku ile kuwachana wote mnazuia.
 
Bwana shamba ulimuona lkn?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu unanitakia nn?? Nikustue au nikuacheee?

JF ni pori sio kichaka tenaaa, kaa kwa nywilaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…