Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Elewa neno KIFINYIO [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
pole chief kumbe watu wana wivu namna hii
Mimi pia na vivocha vyangu nimekua victim [emoji16]
Nibalaa
Hee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au ndo maana siku hizi huweki weki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yesu wangu,
Majobless tutaishije sasa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wakuache kabisa
Katika watu wataoingia Mbinguni moja kwa moja na wewe upo.
 
Sasa picha walipeleka pm kwa mtu ya Nini?
Ila nyie Kuna vitu vinachekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa huyo waliyempelekea anawaonaje?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ni vingi vinapelekwa mpk tukaifunga piem yake!! Me naona kuna watu wanampenda Kantri wanashindwa kumwambia wanatumia maneno ya kuniponda ili wampate sijui?!!!!

Afu mbona Kantri yupo muda humu walikua hawamuoni?? Hebu Kantri njoo uwaambie me na wewe tukoje?? Maana nilikukataza usiingie huku, ila kwa hili njoo ulitolee maelezo leo tufunge mjadala
Countrywide njoo honeyyyyyy [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
[emoji28][emoji28][emoji28] Pole sana chief.. ila tuishi nao mkuu.. hizo watu ni small mind ndio maana zakaa zinatengeza movie.. mie hayo matusi sijawai hata fanya nashangaa mkeka huo niliopita naoo.. ingekuwa kweli mbona ningevimbam.. inabidi usitishe msaada wa vocha
Ujue eti wanatuimbia parapanda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Yaani nilicheka sana.

Mimi na HS tulicheka ,tukasema Mungu atupe uhai tusife mwaka huu.
Tukifa mbona ndo wataongea sana[emoji1787]
 
😅😅😅😅 wehu tu banaa.. sema mama mchungaji walimkosea sana.. ujue bora wangezusha nipo na Unique Flower tuu
 
S
Ujue eti wanatuimbia parapanda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Yaani nilicheka sana.

Mimi na HS tulicheka ,tukasema Mungu atupe uhai tusife mwaka huu.
Tukifa mbona ndo wataongea sana[emoji1787]
aint naomba niitie Simara
 
Ni vingi vinapelekwa mpk tukaifunga piem yake!! Me naona kuna watu wanampenda Kantri wanashindwa kumwambia wanatumia maneno ya kuniponda ili wampate sijui?!!!!

Afu mbona Kantri yupo muda humu walikua hawamuoni?? Hebu Kantri njoo uwaambie me na wewe tukoje?? Maana nilikukataza usiingie huku, ila kwa hili njoo ulitolee maelezo leo tufunge mjadala
Countrywide njoo honeyyyyyy [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Au wanataka muachane
Kamati ya roho mbaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Uzuri wanaume Wanajitambua na ni waelewa

Wangekuwa wa kukazwa upepo na kusikiliza maneno,aisee
Mahusiano yasingedumu..kuna vichaa humu[emoji1787]
 
Back
Top Bottom