Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,403
- 176,302
Mie nawabebea wapi sasa!!!
Nawe uwabebe
Akuuuu pambana nao mwenyewe.





Mie nawabebea wapi sasa!!!
Nawe uwabebe





MmmhhhHata mimi siwajui.
Yeleuwiiii!! Kwani tulivyokwambia tumehama nchi haujasikia? Tumehamaaa na haturudi nchini kwenu.Hahah na tutaja na vigoma vya singeli vile, nitakodi wale wamama wavaa sare za madela...
Hiyo inaitwa beba mkwe mla mahari za watu aolewe yeye, mtaa mzima wafungwa...
nini sasa?Mmmhhh
Yeleuwiiii!! Kwani tulivyokwambia tumehama nchi haujasikia? Tumehamaaa na haturudi nchini kwenu.







Hata sielewi mimi jamaninini sasa?
Kuna sababu nying saan...Kwahiyo unakwenda kwasababu yake?
Hahahaha hapana mkuu ni katika haraakati za kuficha suraHahaha...ni kama umeparamia mtu vile
Hahahaha hapana mkuu ni katika haraakati za kuficha sura
sawaSukuma wiki. I love this shit, man. Naweza kula Ugali na hii kitu tu kwa wiki nzima bila kuchoka.
View attachment 1278202
Hamia Kenya mkuu, utakula ugali, sukuma na matumbo hadi ukimbie...
Na wale watu huwa hawajui kupima nyama, wanajazaaa
Mkuu mimi nitakuwa hapo Mamba, kotela kama unapafahamu
Pale saa hivi fujo sana chimbo langu ni babloniNapafahamu mkuu..mamba complex nakula sana kitimoto choma hapo,tutatafutana


Napajua panalimwa limwa mahindi sana alafu kuna kama nyumba haaiishi mtu kama sijakoseaSasa mimi hapo ndio home kabisa ukishuka kidogo na hicho kinjia nyumba ya kwanza utakayokutana nayo pana uwazi mkubwa ni kwa babu hapo mamba complex ni kwa ndugu yangu kabisaaa


Sukuma ikiungwa poa ni tamu sana.Sukuma wiki. I love this shit, man. Naweza kula Ugali na hii kitu tu kwa wiki nzima bila kuchoka.
View attachment 1278202
Mie shahamiaHamia Kenya mkuu, utakula ugali, sukuma na matumbo hadi ukimbie...
Na wale watu huwa hawajui kupima nyama, wanajazaaa







Aki kubebwa kusikie tu. Bora tu tuendelee kukuwa singo.
Yeah...! Kenya wanauza ugali bei yake na mboga bei yake.Hamia Kenya mkuu, utakula ugali, sukuma na matumbo hadi ukimbie...
Na wale watu huwa hawajui kupima nyama, wanajazaaa