Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,311
- 108,350
Hili pozi kama nimeshindwa kulielewa
Sunday....View attachment 1278178
Sunday....View attachment 1278178
Mbona sasa tushatoa. lakini sasa mtoto yupo singo na mkwe yupo singo....hehehe
Hebu hamieni Kenya fasta kabla hatujaja beba mkwe![]()










Hahaha hapana, mambo yako tu...huwa wanifanya mbavu zitikisike bila kupendaKwanini sasa ushangae mkwe
Kwavile ni copy ya my beloved dady au?
Njoo tu unitie machoni mkwe.
Daah mkuu naona umeamua kunichoma na kunipasua moyo, tumbo, mapafu na ini kwa wakati mmoja..
Hiyo ni after church...! Nisipoenda church mdogo wako hapendi shemloveNa kanisani hujakwenda?![]()
Kwani hizo posa mlimpa nani?Hili pozi kama nimeshindwa kulielewa
Ewaaah mkuu Paulo hapo umepatia.
Nakazia mimi jamaniHahah si tunatoa tu...
Na tusipopata tunabeba mkwe![]()
Kwani uko na watoto ngapii hakiHadi sasa7
Breakfastkama lunch.... Vitambi havichomoki kwa style hii
Kwahiyo unakwenda kwasababu yake?Hiyo ni after church...! Nisipoenda church mdogo wako hapendi shemlove
Hazielewekagi hizi mkuu....Hili pozi kama nimeshindwa kulielewa
HakunaNani yupo sahihi sasa
Heheh hiyo ndio pona yenu walahi...
Eti mshatoa ila mtoto yuko singo
Tudhahama mkwe, hatupoooo.



Mi stakiiiNimekuzomea ki Halloween![]()
Mkwe na zilikuja na vitenge begi zima ile ya kuvutaKwani hizo posa mlimpa nani?
Hahaha hapana, mambo yako tu...huwa wanifanya mbavu zitikisike bila kupenda




