Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,750
- 109,845
Hahaha...ni kama umeparamia mtu vileHazielewekagi hizi mkuu....
Hahaha...ni kama umeparamia mtu vileHazielewekagi hizi mkuu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizo zote zako tu. Bado sijahesabu za Shunie na Heaven Sent
Siku nikiwa tayari mkwe utanitajia jiografia yako nitafute kwa atlasi nyuzi za latitudi na longitudi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkwe njoo tu unione jamani, wewe siwezi kukukimbia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona sasa tushatoa. lakini sasa mtoto yupo singo na mkwe yupo singo....hehehe
Hebu hamieni Kenya fasta kabla hatujaja beba mkwe [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Khaaaah!! Hizo sijapokea kabisaaaa. Mbebeni mlomkabidhi.Mkwe na zilikuja na vitenge begi zima ile ya kuvuta
AiiiiiSiku nikiwa tayari mkwe utanitajia jiografia yako nitafute kwa atlasi nyuzi za latitudi na longitudi
Leo uko na kazi ya kukana tuuKhaaaah!! Hizo sijapokea kabisaaaa. Mbebeni mlomkabidhi.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kwani umewahi kuwajua? Huoni uko singo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona mimi siwajui jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani umewahi kuwajua? Huoni uko singo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heheh hiyo ndio pona yenu walahi...
Mkikatiza tu mpaka kurudi tu tuna ninyi [emoji23][emoji23][emoji23]
Na vile mahari haina kodi mweeh, hatuna hata mahali pa kuwasemea
Sawa mkwe.Siku nikiwa tayari mkwe utanitajia jiografia yako nitafute kwa atlasi nyuzi za latitudi na longitudi
Hahah lugha ya fiziko jiografi [emoji73], mkwe huyo ndio kanifundishaAiiiii
Kwani hiyo lugha ni ganii
[emoji23][emoji23][emoji23]anakimbia kivuli chake mwenyeweLeo uko na kazi ya kukana tuu
Mbele ya kubebwa akuuuu, nawakana wooote.Leo uko na kazi ya kukana tuu
Ooohhh kumbe jamanii!!Hahah lugha ya fiziko jiografi [emoji73], mkwe huyo ndio kanifundisha
Na leo ni Sunday haki[emoji23][emoji23][emoji23]anakimbia kivuli chake mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbele ya kubebwa akuuuu, nawakana wooote.
Hahah na tutaja na vigoma vya singeli vile, nitakodi wale wamama wavaa sare za madela...Mbele ya kubebwa akuuuu, nawakana wooote.
Hata mimi siwajui.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani, daaaahhh!!!
Naomba unitambulishe plizii
[emoji120][emoji120]Sawa mkwe.