sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,149
Hiyo ni korogwe au....Pale saa hivi fujo sana chimbo langu ni babloni [emoji2][emoji2]
Hiyo ni korogwe au....Pale saa hivi fujo sana chimbo langu ni babloni [emoji2][emoji2]
Hahah nakusubiri hapa KajiadoMie shahamia[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Na ugali wao ule utadhani mabumunda ulivyo mgumuYeah...! Kenya wanauza ugali bei yake na mboga bei yake.
Huko sikujiiii.Hahah nakusubiri hapa Kajiado
Basi Kisumu, nakuja na ferry toka Musoma [emoji23][emoji23]Huko sikujiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamia Kenya mkuu, utakula ugali, sukuma na matumbo hadi ukimbie...
Na wale watu huwa hawajui kupima nyama, wanajazaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aki kubebwa kusikie tu. Bora tu tuendelee kukuwa singo.
KabisaaaYeah...! Kenya wanauza ugali bei yake na mboga bei yake.
Imetoshaaa akiii [emoji1780]Hahah nakusubiri hapa Kajiado
Sukuma ikiungwa poa ni tamu sana.
Shindwaaaa!Basi Kisumu, nakuja na ferry toka Musoma [emoji23][emoji23]
Hiyo hapo.Oya punguzeni ngenga tupieni mapicha basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na ugali wao ule utadhani mabumunda ulivyo mgumu
Hiyo hapo.
Oya punguzeni ngenga tupieni mapicha basi
Marahabaaa!Hivi kwanini lakini eti??
Unaenda wapi eti dada
Tubariki na moja basi