Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,378
- 176,229
Kweli aisee.Asanteee...kazi nzito mnoo
Kweli aisee.Asanteee...kazi nzito mnoo
Sifanyi tenaaaaaaa.
![]()
Wakubwa wanafaidi😜😜Imebidi nizime flash😂😂
View attachment 1277719
Thanks shemlove.@sumbai naomba mualiko wa x-mass shem love.
Mwanangu ameiogopa saanaa hii picha. Paka ameacha kabisa kuchezea simu
Mie mbona hamnialiki![]()
Deal
Mkuu hapo unashiba au kuna mkate mzima pembeni??
Mimi nimegonga chapati nne maharage na supu![]()
Halafu ukashushia na yokozuna au jibapa siyo??
Una hakika sikuji? Nialike uone kama sikuji.Tatizo ukialikwa hauji,, Mbeya unakuja lini??
Mtori.Nini hii dada shemlove
Sawa, nasubiri.Thanks shemlove.
Mdogo wako ngoja nimwambie akualike.
Ameona atajibu badae
Hapana rafiki, niliacha kitambo.Nilijua wewe mtawa, kumbe bado unatumia ile kitu?
Mtori mkwe.Asanteee, Hii ni nini mkwe?
Loshoroo ama mtori?
Hapana mamiii...
Box nzima la ceres linahusika..
Si unajua nimepumzika pombe kwenye mwezi huu wa sikukuu ya kuzaliwa kwa issa