Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,776
- 182,911
Ndio maana nakupenda mkwe, unaelewa haraka sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha...mkweeeeee
Ndio maana nakupenda mkwe, unaelewa haraka sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha...mkweeeeee
Wanaume wa jf nyie karibia wote ni mabachela sugu[emoji134][emoji134][emoji134]Bachelor suguView attachment 1278088
Hello!Baada ya mtori na chapati mbili, mimi sipati picha..[emoji39][emoji39][emoji39]
Wanaume wa jf nyie karibia wote ni mabachela sugu[emoji134][emoji134][emoji134]
Watu8 mko kwa mission gani mkwe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaushaa
@AsprinMkuu mimi nitakuwa hapo Mamba, kotela kama unapafahamu
[emoji4][emoji4] Wewe huwa hutakagi mazoea ya PM, mwisho kwenye uzi tu mpemba weweOk mkuu
Hi my love!Hello!
Breakfast [emoji505] kama lunch.... Vitambi havichomoki kwa style hii
Una I'd ngapi mkuu 😁😁😁[emoji4][emoji4] Wewe huwa hutakagi mazoea ya PM, mwisho kwenye uzi tu mpemba wewe
Pamoja mkuu kwenye 20 flan hapo nitakuja..
Happy new month love.Hi my love!
Pamoja mkuu kwenye 20 flan hapo nitakuja..
Mie trh 23.Poa mkuu mm nitadondoka huko tar 21
Aiseee!! Nahitaji kuona mtu akijizika. Alika mimi uone.
Aiseee....Mtori.
@Asprin
Hilo ni jina au tusi?Looh mtoto mchawi wewe kwahiyo utakuja ili tu nijizike?? Sawa karibu Buzilayombo!!