Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umenikumbusha kitu aiseee!!

Maza mdogo muabeshi, sasa alikuwa na bwanaake mfipa. Basi bana kuna mashosti zake wakawa wanatafuta mganga wana mambo yao uko makazini kwao.
Maza si kapiga simu kaweka loudspeaker eeeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si nikasikia sauti ya bamdogo eti kapandisha majini kwenye simu anasema wale wadada mwaka haushi wanafukuzwa kazini wajitahidi wamuachie pesa mamdogo ya kununua vifaa vya kazi ili aje kuwafanyia kazi yao. Basi bamdogo anawaaga kwa kifipa aiseee!!!! Nilishindwa kuvumilia nilichekaaaaa mamdogo akakata simu faster alinikata jicho hilo la mwana ukome[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Toka hapo siwaamini wafipa na nikimuona bamdogo nakauka kucheka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu hii chaii, khaaah
 
Uwiiiii..[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Umetokea wapi tena a wewe?
Na huo ulozi wa kingoni nitakoma wallah
Nisamehe sweetheart Cute Wife ndo kaniponza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tulizana, ukifanywa hiyo jojoro isisimamee, ndo akili itakukaa sawaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee unamsemea mwenzio? Uko kwenye moyo wake???

Mume wake anamuuma na kukaa uke wenza hataki!!! Na me kumuachia siwezi nataka nichafue passport kwa kusafiri na babe Jack [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom