YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Sasa hivi nimekuwa wa kuingia sijui selfika, mara mahusiano, sijui na wapi tena.
Sema lile jukwaa la siasa sasa hivi kuna Vimeo wengi sana, bavicha itakua wanatumia robots. Ukiwamaliza 100 leo, kesho wanarudi 200.
Wala sio robots sema ss hivi mmeishiwa