Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
Na sasa hivi wameongezeka. ngoja tumuachie faiza nae, maana muda anao mwingiWe huwajui vizuri akina Mmawia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Braza J
Anabishana na Kijiji chote na hachoki
Na sasa hivi wameongezeka. ngoja tumuachie faiza nae, maana muda anao mwingiWe huwajui vizuri akina Mmawia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Braza J
Anabishana na Kijiji chote na hachoki
Unaweza jiona hufai kwenye hii Dunia[emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣Na sasa hivi wameongezeka. ngoja tumuachie faiza nae, maana muda anao mwingi
Acha tu. Huku kupo kindugu zaidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona mnataka muanze tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuja huku ni huyu wa kuitwa cute wife ndio alinileta, nimeingia huku nakutana na vipenseli, mara sijui aunt wa kipenseli, ni tafrani tu. Kila nikitaka kutoka huku cute wife ananizuia
Hapo kwenye selfika ndio sipawezi kabisa. Mimi huku sipo kutafuta demu
Uzuri utajaa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jana umenionea lile game
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unaona sasa kama huyo haijulikani analala saa ngapi
Wewe ndio umenileta huku, hebu sema nitoke uone kama ntarudi tena huku.
Kule kwenye siasa sasa hivi bavicha wameajiri robots 24/7 wapo active. Utaweza? Alafu sasa hivi majukumu yamekua mengi sana, kule inahitaji uwe na muda sana
Shkamoo jiraniJiraniiii
Akisema nitoke, hutaniona tena huku.
Urudi siasani MkuuAkisema nitoke, hutaniona tena huku.
Hao sasa hivi wana muda mwingi sana, kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 9 usiku wapo macho. Sisi wengine majukumu yamezidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anasemaga Chadema ni mpango wa Mungu
Eti kuna haja ya kufungua TV yao
Sema mimi huyu jamaa,sijui dada
Ananichekesha uwasilishaji wake.
Ninachompendea hatukani matusi kama wenzie walioshindikanika utadhani kwao hawajalelewa na watu wazima.
Huku kutoka natoka vizuri tu, ila kwa sasa muhimu kwanza iphone yangu niipateKuanzia leo huku usiingie. Ukiingia iPhone 14 nasubiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri utajaa tu
Naweza, ila nataka iPhone yanguTayari nishasema, swali ni je utaweza?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Urudi siasani Mkuu
Kule kunaendana na wewe.
Huku kutoka natoka vizuri tu, ila kwa sasa muhimu kwanza iphone yangu niipate
Narudi mara moja moja, muda mama, majukumu yameongezekaUrudi siasani Mkuu
Kule kunaendana na wewe.
Naweza, ila nataka iPhone yangu
Sijawahi kutukana huku,Arudi kwa kweli mwenyewe ananikera anavyotukana humu, nimeongea hadi nimechoka[emoji119][emoji119]
Bora na wewe useme