cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,335
- 188,020
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwaaaa, sikua najua hataMama alimsema, si unajua tena sauti ya mama? Hiyo ya mwanafa ilikua special case
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwaaaa, sikua najua hataMama alimsema, si unajua tena sauti ya mama? Hiyo ya mwanafa ilikua special case
Upo vizuri sana dada, natural kabisa. Kafigure flan hivi, kama flaviana matataWeeh
Battle zako huwa za moto [emoji23]
Vumbi zinasambaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipe tu hizo marks
Nione narekebisha wapi.
Umegeuza story?[emoji848]Kabisaa ila kudaiana iPhone kwenye bet za Man U sitaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Battle yake na yangu alishindwa, akawa analia kwa modes wanitoe JF mazima, akabidili had jina, afu akarudisha tena hili.Mumeo huyu bahari yake naijua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuanzia kule siasani alivyokuwa anawapiga spana wapinzani enzi za mwendazake[emoji23]
Nilikuwa nafurahi balaa maana nilikuwa diehard fan wa Mzee.
Kuna battle nilikuta anapambana[emoji1787][emoji1787]
Ya Coca,na nyingine
Nyie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ule ni ukaitili wa kijinsia
Nilicheka nikataka kuzimia.
Mumeo huyu bahari yake naijua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuanzia kule siasani alivyokuwa anawapiga spana wapinzani enzi za mwendazake[emoji23]
Nilikuwa nafurahi balaa maana nilikuwa diehard fan wa Mzee.
Kuna battle nilikuta anapambana[emoji1787][emoji1787]
Ya Coca,na nyingine
Nyie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ule ni ukaitili wa kijinsia
Nilicheka nikataka kuzimia.
Nimekonda sanaUpo vizuri sana dada, natural kabisa. Kafigure flan hivi, kama flaviana matata
Huko siasani ndio penyewe, huku bana ukweli sipawezi cute wife ndio kila mara ananitaka nibaki. Huku pako kidada dada sanaMumeo huyu bahari yake naijua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuanzia kule siasani alivyokuwa anawapiga spana wapinzani enzi za mwendazake[emoji23]
Nilikuwa nafurahi balaa maana nilikuwa diehard fan wa Mzee.
Kuna battle nilikuta anapambana[emoji1787][emoji1787]
Ya Coca,na nyingine
Nyie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ule ni ukaitili wa kijinsia
Nilicheka nikataka kuzimia.
Jamaa alikuwa mwamba sana.Huko kwa wapinzani yuko vizuri sema wivu wake ss hivi ndo unamfanya kaacha kuwapiga spana ila ni mtu na nusu
Me mwenyewe napewa makavu nje ya jf basi tu namvumilia nifanyeje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umegeuza story?[emoji848]
Haya tutayamaliza basi, yaishe tu hapa
Hata mimi nilishangaa kukuona hukuHuko siasani ndio penyewe, huku bana ukweli sipawezi cute wife ndio kila mara ananitaka nibaki. Huku pako kidada dada sana
Huko siasani ndio penyewe, huku bana ukweli sipawezi cute wife ndio kila mara ananitaka nibaki. Huku pako kidada dada sana
Kumbe!😂😂😂anakulinda🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wivu wako ndio unaokufanya upo huku, sema ukweli
Coca mbona mm nimekutakia heri kwenye maisha yako na mume wako. YalishaishaBattle yake na yangu alishindwa, akawa analia kwa modes wanitoe JF mazima, akabidili had jina, afu akarudisha tena hili.
[emoji23][emoji23][emoji23] basi sawaaa.Coca mbona mm nimekutakia heri kwenye maisha yako na mume wako. Yalishaisha
Sasa hivi nakupenda sana tu
Jamaa alikuwa mwamba sana.
Siku hizi amepoa.
Enzi za Magu zile [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikuwa nikitaka kucheka naingia siasani
Najua ntamsoma jamaa,,walikuwepo na wengine wengine yaani ni mtifuano.
😂😂😂Battle yake na yangu alishindwa, akawa analia kwa modes wanitoe JF mazima, akabidili had jina, afu akarudisha tena hili.
Wee vile vichambo🤣🤣🤣🤣🤣Akiona umemshinda anaanza kutukana ki hip hop [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mtu ni mtata kuishi naye unatakiwa nawe ziruke kichwani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikikumbukaa zamaniii, aaaah now nimestaafu bhanaaa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mods walishambuliwa hatari [emoji1787]Hasa Melo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wote tunaokuqoute Kuna jamaa alisema akitukamata ni kutandika fimbo[emoji1787][emoji1787]
Sasa hivi nimekuwa wa kuingia sijui selfika, mara mahusiano, sijui na wapi tena.Huko kwa wapinzani yuko vizuri sema wivu wake ss hivi ndo unamfanya kaacha kuwapiga spana ila ni mtu na nusu
Me mwenyewe napewa makavu nje ya jf basi tu namvumilia nifanyeje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee vile vichambo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna watu siyo wa kujichanganya kuingia nao battle
Anakuchamba mzima mzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787]