Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ya kifipa yaliingilia kati baada ya kuona ya kizaramo yanashindwa kazi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umenikumbusha kitu aiseee!!

Maza mdogo muabeshi, sasa alikuwa na bwanaake mfipa. Basi bana kuna mashosti zake wakawa wanatafuta mganga wana mambo yao uko makazini kwao.
Maza si kapiga simu kaweka loudspeaker eeeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si nikasikia sauti ya bamdogo eti kapandisha majini kwenye simu anasema wale wadada mwaka haushi wanafukuzwa kazini wajitahidi wamuachie pesa mamdogo ya kununua vifaa vya kazi ili aje kuwafanyia kazi yao. Basi bamdogo anawaaga kwa kifipa aiseee!!!! Nilishindwa kuvumilia nilichekaaaaa mamdogo akakata simu faster alinikata jicho hilo la mwana ukome[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Toka hapo siwaamini wafipa na nikimuona bamdogo nakauka kucheka
 
Ahahha hao waongo
 
Alikuwa anawatapeli huyo bamdogo ni hatari kuna kisa chake cha utapeli kiliwahi kutokea Arusha mpk media zilitangaza. Nilicheka sanaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ueye na mkewe maisha yao ninya utaoeli kabisa
 
Kuwa makini naye ana mwanamke anampenda hasikii la yoyote!!!! We baki tukae uke wenza hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee unamsemea mwenzio? Uko kwenye moyo wake???
 
Back
Top Bottom