Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Ni kitabu cha kampuni ina deal na robotics na automation systems!Kile kitabu pale ni robotics mathematics, au nimeona vibaya, wewe ni lecturer au mwanafunzi wa chuo mkuu
Ni kitabu cha kampuni ina deal na robotics na automation systems!Kile kitabu pale ni robotics mathematics, au nimeona vibaya, wewe ni lecturer au mwanafunzi wa chuo mkuu
Michezo gani hii dogo?
Nimekuta appa store nikasema nijaribuMichezo gani hii dogo?
Sawa kijana, ebu niitie babe wangu Cute WifeNimekuta appa store nikasema nijaribu
Tatizo unapotea sana😄Kwamba sina changu tena[emoji22]
Mwanaume huna uvumilivu wewe[emoji17]Tatizo unapotea sana[emoji1]
Ahaa tatizo hapa warembo wengi nashindwa kuvumilia😄Mwanaume huna uvumilivu wewe[emoji17]
Dah naona wivu sasa😥Jamani am single again
Natafuta babe [emoji4]
Haya baba all the best na mrembo wako mpyaAhaa tatizo hapa warembo wengi nashindwa kuvumilia[emoji1]
Sa itakuajeDah naona wivu sasa[emoji26]
mshamba_hachekwi fursa hiyo kijana😄Jamani am single again
Natafuta babe [emoji4]
Au wahuni wamemficha?Namuita sasaivi
Cute Wife 🗣🗣🗣 unaitwa ukuuu
Hapana itakuw kalala sasaiv si unajua bado anaumwa tenaAu wahuni wamemficha?
Mbona kila siku anaumwa🤔Hapana itakuw kalala sasaiv si unajua bado anaumwa tena
Ana aleji si unajua aliko tena uko kijijin vumbi tupyMbona kila siku anaumwa🤔
Doh kijiji gani?Ana aleji si unajua aliko tena uko kijijin vumbi tupy