Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,334
Twanga makofi mpaka aeleweUmbea upo kwenye damu huyo.
Twanga makofi mpaka aeleweUmbea upo kwenye damu huyo.
Ana babies?Shem mbona wewe country amekuruhusu uwe na babes
Nitaipata tuMxxiewwww!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila haya mahaba yako mbona kama nina wasiwasi nao baby [emoji28]Niko hapa sweet love
Nimekuja kukupeti peti na kukupa mahaba moto moto[emoji7][emoji8]
[emoji28][emoji28]sawasawaUke wenza wetu utakuwa mzuri sisi ni kuzurula na mume angani tu!!!! Ni mwendo wa kuchafua passport [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Twanga makofi mpaka aelewe
Hapana sijageuka ni utan naongeaKuwadi ushanigeuka? Wewe si ndo uliekuwa unapiga debe hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitaipata tu
[emoji28][emoji28]sawasawa
Kabla hata jogoo hajawika ushamkana baby wetu Jack PalladinoMjep muongo sina babe mwingine humu usimsikilize [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Heee nimeachwa tayari😅Kabla hata jogoo hajawika ushamkana baby wetu Jack Palladino
Kabla hata jogoo hajawika ushamkana baby wetu Jack Palladino
Heee nimeachwa tayari[emoji28]
Mhhh acha nitafute mwingine😅Si nilikwambia huyu bi mkubwa mkorofi!!! Si unaona kaenda kumuita mtu sijui kamtoa wapi aje kutugombanisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umbea upo kwenye damu huyo.
Utakoma kuringaHeee nimeachwa tayari[emoji28]
Mwenza tulia utatuletea magonjwa[emoji28]Mke mwenza emu tulia, mbona unataka kumuua mume wetu sasa??
Huyo me simfahamu kabisaa tunataniana tu!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]