Ahhaha sawa bhna unitumie korosho sasaHivyohivyo ulivyoelewa ndugu Tuntufye....
Kuna mtu atapigwa za uso ukoò 🤣🤣Vijana wanadema dema sana, wote mna mbinu zinafanana.
Kila wakimtongoza cute wife basi lazima wanipondee,
Siku nikiwa natoka kwenye majukumu yangu alafu nna stress, ntakuja hapa kuwachana mmoja mmoja maana wote naona umri mkubwa lakini akili za ki-teenager
Nitawapa somo vizuri, atayechukia hiyo itakua juu yake. Kuna mmoja huku kwenye mijadala anakua innocent sana, lakini akienda inbox kutongoza anaenda kuniponda
Nitawaweka sawa
Hahaha, wanyakyusa wanakunywa kimpumu bwana, komoni inanywewa na Wasafwa..... 🤣 🤣 🤣Hahaha hakuna kule kabisa ni mwendo wa komoni tu
Umelogwa na wamakua weweNdiyo maana wanaume wengi wa Tanzania akili zetu ziko kama vichaa. Hawa wanawake wanatuloga kweli yani....
Sasa piga picha una michepuko 5 halafu yote inaenda kwa mganga kukukoleza, unadhani utakuwa mzima kichwani ?
Hapo bado mke wako wa ndoa hajakutengeneza naye, yaaani hawa wanawake hawafanyi fresh hata kidogo mazee
Mm ndio mtu ambae huwa sichukulii kitu personal. Ndio maana nakuaga straight
Ukitongoza usiponde mwingine. Hiyo ndio kanuni ya kibaharia.
Ahahah kumbe unatujua vizuri aaf sikup tena dada yangu uoeHahaha, wanyakyusa wanakunywa kimpumu bwana, komoni inanywewa na Wasafwa..... 🤣 🤣 🤣
Korosho msimu bado, tunaanza kuvuna mwezi wa kumi, ntakutumia tu Mwaisa....Ahhaha sawa bhna unitumie korosho sasa
Eeeh, hivyohivyo tu.....Dahhh elfu 10 mbona nyingi Sana 😂🤣🙉
Nani🤔, au wa Humu jf??Mtu mmoja😬
Dah mi hata buku 3 nalia😂🤣🤣Eeeh, hivyohivyo tu.....
Acheni kutussakam tunashinda duka la simu tangu morning up jion lakin napiga pamba kali mpka mshamba_hachekwi akiniona anataka kunipola iPhone yanguWazee wa kino boys😂🤣
Hayo ndio maneno na ile visa yangu ya kwenda ughaibuni mzeeKorosho msimu bado, tunaanza kuvuna mwezi wa kumi, ntakutumia tu Mwaisa....
Hahahaha, hao wakina Tuntufye na Suma wa Mwakaleli wenye tabia za kibondia-bondia kaa nao tu...Ahahah kumbe unatujua vizuri aaf sikup tena dada yangu uoe
The goal is to be rich, not to look rich.Acheni kutussakam tunashinda duka la simu tangu morning up jion lakin napiga pamba kali mpka mshamba_hachekwi akiniona anataka kunipola iPhone yangu
Wewe utakuwa Jobless wewe, ukaksi gani huu kheeh! 🤣 🤣 🤣Dah mi hata buku 3 nalia😂🤣🤣
Dada zangu tumeshea mam wao ni wanyaruwandaHahahaha, hao wakina Tuntufye na Suma wa Mwakaleli wenye tabia za kibondia-bondia kaa nao tu...
Iyo nakuachia weweThe goal is to be rich, not to look rich.
🏃🏿♀️🏃🏿♀️Nani🤔, au wa Humu jf??
Oya nime check Sana😂🤣, ndio mi Ni jobless wa kimataifa mkuu🤒😁.Wewe utakuwa Jobless wewe, ukaksi gani huu kheeh! 🤣 🤣 🤣