National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,199
Nakukubali sana baby❤️.. huogopi mtu 😅😅😅😂😂😂Siogopi
Nakukubali sana baby❤️.. huogopi mtu 😅😅😅😂😂😂Siogopi
Niogope nn kwanza wanasheria waendelee kuandika waraka WA amani 😀😀😀Nakukubali sana baby❤️.. huogopi mtu 😅😅😅
Hapa Natakiwa tarehe 18 mwez ujao balaa sema uzuri nishamaliza mdgo angu sio Mbayami ndo maana hiyo kozi nilihama kmmk![]()




hamsoni nyie vijana 😅😅😅dogo naskia una supp nne
chezea civil wewe
Yaani una kutana na mtu ana simu Kali, pambaa Kali.Litoto limepaka sunscreen limekuwa na rangi ya Cappuccino, nadhani hata Perfume lililopulizia itakuwa ni hela ndefu maana ilibaki kwenye nguo zangu wiki nzima. Nikasema hapa kazi ipo sana,.....
Ndiyo maana wanaume wengi wa Tanzania akili zetu ziko kama vichaa. Hawa wanawake wanatuloga kweli yani....Haya mambo ni harisi.. kuna siku nilienda site nje ya mji kufanya survey.. pale ambapo survey ilikuwa yafanyika karibu yake kulikuwa na top mganga lile eneo.. sasa wadada wa dar es salaam pale wanapishana mzee . kuchukua ndumba na kukaanga maboyaa wao... hatari sana hapa mjini hasa hawa mabinti wazuri wazuri.. na uchawi wengine wanaweka kwenye shanga.. ziguse uone mtiti wake 😅😅😅😅😅
Professor Ali Tunga paper akiwa naked🤣😂😂
Wameze tu viwembe 😅😅😅Niogope nn kwanza wanasheria waendelee kuandika waraka WA amani 😀😀😀
Unawachokoza wachawi wew😂😂😂Wameze tu viwembe 😅😅😅
hakuna kitu watabadirisha.. imeisha hiyoView attachment 2716315
Nitawaweka sawa tu kidogomkuu we kaushia tu.. huu ujinga upo sana JF mtu badala aende pm kupiga sound yeye kama yeye.. anaenda kuanza kuchafua wengine .. kuna utoto mwingi sana..

watakijuuuu baby ❤️😛😛Unawachokoza wachawi wew😂😂😂
Mazee kizazi kitakachozaliwa na hawa mabinti kinaweza kuwa na vichaa wengi sana.. 🤣 🤣Yaani una kutana na mtu ana simu Kali, pambaa Kali.
👉Halafu ana kuomba nauli🤣😂😂
😬😬😬Kigoriii😁🤗
Hata akichukulia serious, we don't give a shit🤣😂😂unachukulia vitu personal bana, ni utani tu mzee
Wew tuma nauli acha kulalamika Hana nauli mtumieYaani una kutana na mtu ana simu Kali, pambaa Kali.
👉Halafu ana kuomba nauli🤣😂😂
Mambo kigori😍🙃
🫨🫨🫨🫨🫨😵💫😵💫😵💫😬
Dah una nionaga mzinzi Sana😂🤣😂, na maanisha njiani bhana🤣😂🤒Wew tuma nauli acha kulalamika Hana nauli mtumie
Kamekuja ka kigoriii Nuzulati 😁🫨🫨🫨🫨🫨😵💫😵💫😵💫😬
Dah jau jau tu😂🤣😂, sema yata pita 🤒Mazee kizazi kitakachozaliwa na hawa mabinti kinaweza kuwa na vichaa wengi sana.. 🤣 🤣