Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,315
SI mtoto wa jirani yetu, kaende mwenyewe Kwenye ubwabwa🤣😂umeachwa na umaskini.. kwanini sasa usikitike 😅😅
SI mtoto wa jirani yetu, kaende mwenyewe Kwenye ubwabwa🤣😂umeachwa na umaskini.. kwanini sasa usikitike 😅😅
mwanawane mbona hatupenai taarifa kuea unejiwe kwa Cute Wife mzeeNilikosea njia bby
Vijana wa Darisilamu wana vyanzo vingi sana vya mapato.....mwaisa kashasema anakaa kwa shemegiii hiyo Canon atanunuaje 😅😅
Ahahahah nampa yang hii 😂mwaisa kashasema anakaa kwa shemegiii hiyo Canon atanunuaje 😅😅
Ah wapi mie nilikuw napita zangu mkuu hiyo bby ni automatic tuu imejiandikamwanawane mbona hatupenai taarifa kuea unejiwe kwa Cute Wife mzee
afi kabisa jibu zuriiiVijana wa Darisilamu wana vyanzo vingi sana vya mapato.....
Napita tuu kuelekea mmuMtaalamu upo😂🤣🤒
😅😅😅 una baby ndio maana imejiandika automaticAh wapi mie nilikuw napita zangu mkuu hiyo bby ni automatic tuu imejiandika
techno camon eee 😅😅Ahahahah nampa yang hii 😂
Ndio bby nalosaje tena wakati mie kidume😅😅😅 una baby ndio maana imejiandika automatic
😅😅😅😅.. huenda wamepewa mgao wa 🍯🍯🍯 sasa hivi wana jiramba tuVijana wa Darisilamu wana vyanzo vingi sana vya mapato.....
Kamanda Mzabzab mwenyewe, The Philander in Chief......Ah wapi mie nilikuw napita zangu mkuu hiyo bby ni automatic tuu imejiandika
Mji mgumu sana huu, unakuta kijana analala stendi lakini anamili Iphone macho matatu!😅😅😅😅.. huenda wamepewa mgao wa 🍯🍯🍯 sasa hivi wana jiramba tu
Ata spack 😂😂techno camon eee 😅😅
wewe ubatuobea wivu vijana wa dasilamuuuMji mgumu sana huu, unakuta kijana analala stendi lakini anamili Iphone macho matatu!
huku hapanifai tena maana nitakua naona ulivyo mbea huku nachukiaBas nimeacha baba angu [emoji8][emoji182]
Huu mtihani mzito ila nitauvuka
😅😅😅 hili ni ajabu kwa dar es salaam.. huwa nashangaa kuna maeneo huwa naenda .. iPhone 13 Pro au 14 Pro ukiangalia alie nayo.. bagoshaaa...Mji mgumu sana huu, unakuta kijana analala stendi lakini anamili Iphone macho matatu!
Juzi nakutana na manzi mmoja analalamika hakuna ajira na maisha magumu kweli, ila kavaa wigi la laki 7.....Na
wewe ubatuobea wivu vijana wa dasilamuuu
😅😅😅 mzabzab anawachana live sana wamama wa humu...Kamanda Mzabzab mwenyewe, The Philander in Chief......
Nasikia totoz za JF zinakuita Cupid....