Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,315
Kuja hapa u selfike🏃🏃😁🏃🏿♀️🏃🏿♀️
Kuja hapa u selfike🏃🏃😁🏃🏿♀️🏃🏿♀️
Mngejua nilivyo domo zege 🤣🤣🤣🤣🤣Kamanda Mzabzab mwenyewe, The Philander in Chief......
Nasikia totoz za JF zinakuita Cupid....
Aaaah, Komando Mapenzi naona umefika.....Mngejua nilivyo domo zege 🤣🤣🤣🤣🤣
Bawa babez za jf wanipiga vibuti tuu huko pm. Yaani naikipata hela aisee watakomaAaaah, Komando Mapenzi naona umefika.....
Hilo la udomo zege wako sisi wajuba hatuwezi kulithibitisha, ila wabebez wenyewe!
Wazee wa daslam hao🤣😂😁kuvaa moka ndo kupendeza, aisee
Wazee wa daslam hao🤣😂😁kuvaa moka ndo kupendeza, aisee
Khaah, wewe njemba ni bahiri kama Mzee yani....Oya nime check Sana😂🤣, ndio mi Ni jobless wa kimataifa mkuu🤒😁.
👉Hela Ina umaaa 😁🤣😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado siamini kama umbea unaeza acha kirahisi hivyo.Taratibu had nitaacha babe [emoji8][emoji182]
Mwanzo mgumu kuna vitu vinanikaba nashindwa kuacha kucomment [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo umbea kwake ni Kama akose pumzi😂🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado siamini kama umbea unaeza acha kirahisi hivyo.
Wanyarwanda hata bure sitaki kabisa.... 🤣 🤣 🤣Dada zangu tumeshea mam wao ni wanyaruwanda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawa jamaa wanadema dema sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Toka unipokonye simu yangu umesoma piem zangu ishakuwa shida khaaaaa!!!!
jack ameondoka amekuacha kwangu
Hela Ina uma mkuu, umpe mtu pasipo sababu ya msingi😂🤣. Never ever.Khaah, wewe njemba ni bahiri kama Mzee yani....
Mm najihofia? Aisee mm huyuhuyu?SEMA UNA JIHOFIA SANA MKUU, AU NDO UNA TAFUTA HURUMA YAKE [emoji855][emoji855]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado siamini kama umbea unaeza acha kirahisi hivyo.
Yah, wewe ntakupa somo kuna misingi mingi ya kiume unaikiuka. But naamini bado upo poaKuna mtu atapigwa za uso ukoò [emoji1787][emoji1787]
Hili hatuwezi kulithibitisha Bwana Komando Mapenzi.....Bawa babez za jf wanipiga vibuti tuu huko pm. Yaani naikipata hela aisee watakoma
Huyo umbea kwake ni Kama akose pumzi[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Sijui itakuaje aseeHuyo umbea kwake ni Kama akose pumzi[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Haya yote ni sababu ya yule cocastic[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naacha afu utashangaa sema ngoja nimalizie wa mwisho