Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,864
shemu twiceEm usimtukane shem darling wangu
Ko hapo sielewi umebase wapi
shemu twiceEm usimtukane shem darling wangu
Yaan mie nianzee kuwasemaa watu ambao A - Z Zao hazinihusu na hazinistuiii?? Nna mengi ya kufanya ila sio hayooo.Wala msianza kufichaficha huyo ni penseli pamoja na ndugu yake cocastic. Huu uoga wenu wa kutowataja ndio unafanya hawaachi hii tabia
😂😂😂😂 bosss wewe huchuji juzi tu hapa umenipa laki moja kisa tu nimekusifia nani kama wewe CEO na mwakan tuna nunua jf huna uswahili ukifa wewe uozi nakwambia na ukioza unuki 😂Mimi pesa ipo sihitaji danga wala bwana, nishawahi kukudanganya wewe? Mwachiluwi ebu mpe taarifa zangu coca [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina pesa za majini haziishi, hebu selfika nione rangi traaamu ya toto la kingoni linalomvuruga Mjep [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Nenda ubalozi wa marekani.Hapo natamani niwe kama yeye Yani na mimi niwe na boobs, kiuno laini, tako, nitafurahi sana
Nina mpango wa kufanya surgery. Niwe shemale ? Ila sina hela 😭😭😭😭😭
🥴🥴🥴🥴 nyoko mwenyewee mpenzi.. na leo nalala ukutani.. 🥰😍Afadhali yamekukuta... then you will take back a look.
Mkifanyiwa nyie mmesingiziwa
Wengine walifanya kweli
Nyoko zako babe... haya tukalale 😘😘
😂😂😂Ila watu JamaniUnaweza shangaa watu wanakuogoapa... kumbe washakupakazia kuwa ni nyoma damu au kausha damu.. 😅😅😅 una supa malaria
Aisee sio hao mkuu😬Wala msianza kufichaficha huyo ni penseli pamoja na ndugu yake cocastic. Huu uoga wenu wa kutowataja ndio unafanya hawaachi hii tabia
Unajua navyokupenda mwenye bff wake😘shemu twice
Ko hapo sielewi umebase wapi
Nitakununulia mihogo kesho haya ww ninyime tu 😂utaharibu bajeti yangu ya 2000/siku😅
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] emu niwacheeeee, nalalaa mie.Mimi pesa ipo sihitaji danga wala bwana, nishawahi kukudanganya wewe? Mwachiluwi ebu mpe taarifa zangu coca [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina pesa za majini haziishi, hebu selfika nione rangi traaamu ya toto la kingoni linalomvuruga Mjep [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Broo??Unajua nini nina matako , natafuta danga
😭😭😭
Kwakweli yataka.moyo mgumu watu wanajua kutunga story wanajua kuunganisha matukio utasema walikuwepo 😀😀😀Humu bila kuwa kichwa ngumu ama uikimbie jf au uwe tajiri wa kibadili Id😁😁
Yaani watu wana vipaji haswaa😅😅😅😅.. wanakutengeze movie kamili hadi namba ya chumba mlicho nalala na jina la hotel.. na siku ya kwenda kuchukua dose wanajua.. humu kuna vichwa panzi haswaa
Wala usipate shida nae, huyu niachie nipo nimeacha majukumu yote kwa ajili yake.Unajua nini bro, huyo kiumbe wala hata simjibu
Kaweka dislikes kachoka anajitekenya[emoji706]
Too old for that bullshit
Bana wee si miaka ile WhatsApp inaingiaingia, Kuna pisi moja ina sura kali sana kila nikiomba picha natumiwa sura tu nikasema huyu ndio enyewe yani
Hapa na pale tukapanga kumeet kule juu akemi(nadhani unapajua), alafu nilikua na tag siku hiyo wana wametulia wanakula vitu na baby zao, mm ndio nasubiria kuosha na huyu.
Kumbe meno yameungua alafu miguu njiti kinomaa
😄😄😄😄 twenzetu🥴🥴🥴🥴 nyoko mwenyewee mpenzi.. na leo nalala ukutani.. 🥰😍
Ndio naambiwa hapa kumbe huwa unatongoza wanaume inbox?Una muiga mkeo!!!
😅😅😅 Unapewa file la mtu hadi unabaki mdomo wazi..😂😂😂Ila watu Jamani
Nishazima app zote imebaki safar tu 😂hahaha
washa data saver😂
Una hamu na mie???Broo??