Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaan mie nianzee kuwasemaa watu ambao A - Z Zao hazinihusu na hazinistuiii?? Nna mengi ya kufanya ila sio hayooo.

Drama zenu za JF zinaishiaga kwenu wahusikaaa, sina mda wa kuwazungumzia wasio husika na mie.

Km kwenye hayo manjegekaa mnanihusisha na mie, bas mkaanze upyaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sorry, unajua jina la penseli likija na lako huwa linakuja sijui kwa nn
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bosss wewe huchuji juzi tu hapa umenipa laki moja kisa tu nimekusifia nani kama wewe CEO na mwakan tuna nunua jf huna uswahili ukifa wewe uozi nakwambia na ukioza unuki [emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hizi sifa zimezidi sana mpk nimestuka khaaaaaaa!!!
 
Una hamu na mie???
Nikujibu???
Tulia kipenzi, hunisumbui hata.
Tafuta njia nyingine maana hii ime fail
Sawa toto?
Wala sina hamu na ww maana huko ni kujishusha hadhi.

HAPA NAFANYA MALIPIZI KIDOGO. 😜😜😜.

Nikimaliza ntakuambia malipo ni hapa hapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣



Eeeh dawa iingie vizuri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] emu niwacheeeee, nalalaa mie.

Umechelewa kufika afu unawahi kulala ili iweje?? Hebu selfika wakuone ulivyo wa moto toto la kingoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo ukome na ufisi wako!!! Si nakwambia kila siku mpigiane video call kabla ya kuonana

Afu Melli aweke live km TikTok hayo majibizano ya humu yangependeza sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitakua wa kwanza kulog out. Wengine kwenye real life ni wapole sana, mitandao mingine IG na twitter tunatumia real names. huku ndio pekee unaweza andika venye unataka, ndio pa kutoa stress zote
 
La.mtu si nafuu la kwako mwenyew unabaki unashangaa mm huyu au nilichojifunza watu hatupendani Kuna watu wanaona kumchafua mtu ni ujanja kiukweli wanatuumiza mno wengine tunashindwa tu kusema lakini wanakera Sana
😅😅😅 unashangaa huyu ni mie au anazungumzia nani..


Humu tatizo ni makasiriko ya mijeredi ya maisha.. mtu anakuchukia na kukuonea wivu bila sababu ya msingi bila kujua kila mtu ana yake..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hizi sifa zimezidi sana mpk nimestuka khaaaaaaa!!!
Huna baya ishiii sana na vile ulivyo na sura ya kitoto uzeeki kila siku unakuwa mpya kabisa boss mmoja pesa sio shida kabisa tajiri umepoaaa umepoaaa umepoaaa tena mtoto ukicheka kama ucheki ukinuna bado unaita unasema njoo mlMungu akupe nini wewe unywele uwe kma wahindi hapa ila sio kama wahindi wa kariakooo
 
La.mtu si nafuu la kwako mwenyew unabaki unashangaa mm huyu au nilichojifunza watu hatupendani Kuna watu wanaona kumchafua mtu ni ujanja kiukweli wanatuumiza mno wengine tunashindwa tu kusema lakini wanakera Sana
Me naonaga ni watu ambao wamejikatia tamaa na maisha, sababu kwa hali ya saivi watu busy unapata wapi muda wa kuhangaika na fake ID ya mtu humjui

Kama sio utindio wa ubongo ni nini?
 
Back
Top Bottom