Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,791
Hao watoto wa boss lazima kuwanyenyekea wakinisemea kwa baba yao nafukuzwa narudi mbeya uku dar napapendaKwani watoto wa shemeji wako wapi, au wanakutegea
Hao watoto wa boss lazima kuwanyenyekea wakinisemea kwa baba yao nafukuzwa narudi mbeya uku dar napapendaKwani watoto wa shemeji wako wapi, au wanakutegea
😅😅🤣🤣🤣Mimi nikki wa pili nina usingizi na mambo mengi kesho Ila nipo tayari kufukuliwa tope mpaka niharishe
hapo sasa, I'd ingine namuogopa nani sasa? Km founder na moderators wake siwaogopiii, ndo awe yeyee?? anijiee taratibu, tena akae kwa nywilaaa khaaah.



Dunia na walimwengu wake yaani Jf ina watu ukisikia vile wanaeneza uwongo na uzushi huko pm unaweza shika🙆🏾♀️Sasa naonekana nasambaza ngwengwe makusudi.. huoni hata kama kuna mdada likuwa aolewe humu hizo fununu kama zamfikia mlengwa si msala huo.. alafu kulala ( uasherati, uzinzi sio ulijali ). Ulijari ni kuwa mwanaume unaweza tekeleza majukumu yako ya kibaba..
Umeanza kunitukana? Coca wewe ni nguvu kazi iliyopotea lakini bado naamini unaweza kurudi kwenye mstariBado wee,![]()
Ndio tena ni kubwa sana ofis yao haifungwi wana shift 😂Eti Masijala🤣🤣🤣🤣
Hii ime expire maana msemaji ana aibu sahii hata huu uzi hafiki 🤣Tunataka kujua kwanini ulitelekezwa na mdhunguuu
Utanipunguzia na mm ukuNgoja ntume namba uniekee na hela ya kutoa ili nikanunue vocha😆😆😆
Au unasemaje
Mbeya kulivyo na baridi?Hao watoto wa boss lazima kuwanyenyekea wakinisemea kwa baba yao nafukuzwa narudi mbeya uku dar napapenda
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sina ujasiri uho hapa kuna masijala hapa jf tena watunza kumbukumbu wako vzr ujui tu
Okay tupe mpya basi🤣Hii ime expire maana msemaji ana aibu sahii hata huu uzi hafiki 🤣
Anahisi muda wote nitamsuta
Nataka story mpya content creators 😂😂
Km mmefulia niulizeni basi
Nipauke nani ataka kula njiwa kila siku Depal ww upo tayar kurudi mbeya kula njiwa?Mbeya kulivyo na baridi?
Wee usikubali, komaa hapo hapo kwa shemeji
Ngoja tajiri boss apate namba piemunii😂😂Utanipunguzia na mm uku
Kwa leo tu dada nilijua shem kachukua simu yako 😂Acha kupenda kitonga![]()
Uduguu selfika nione rangi ya mtume![]()




rangii ya mtume halisi haionekani hovyooo, labda unataka inayotokana jiki ya buku kwa jero pale Mwembe Yanga.


uduguuu nalalaa, kesho shambani kuvuna mahindii, famchezo nn??Unashangaa huyu wana mzunguzmia mie au ni mtu mwingine.. unakuwa confused... mtu hujawai hata onana nae, na unakuta kuna watu wana mjua humu na kumuheshimu unaunganishwa nae kwenye tela.. wengine wana ndoa zao na familia zao.. unaunganishwaa.. likatokea la kutokea inakuwa tafrani tupu.. kweli JF wengi hawana kazi nimeamini ndio maana unakuta mtu yupo humu 24/7 😅😅Dunia na walimwengu wake yaani Jf ina watu ukisikia vile wanaeneza uwongo na uzushi huko pm unaweza shika🙆🏾♀️
😆😆😆😆Hii ime expire maana msemaji ana aibu sahii hata huu uzi hafiki 🤣
Anahisi muda wote nitamsuta
Nataka story mpya content creators 😂😂
Km mmefulia niulizeni basi
We mgonjwa hebu lalaAcha kupenda kitonga![]()