Leo vocha niko nazo mbali shem wambie waweke namba hapa chap niwarushie muamalašBoss wape vocha watulie, waanze kuselfika afu waselfike full [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo vocha niko nazo mbali shem wambie waweke namba hapa chap niwarushie muamalašBoss wape vocha watulie, waanze kuselfika afu waselfike full [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah vyombo nimeosha usiku uhu ili kesho nilalelala uwahi kuamka uoshe vyombo
kwa shemeji hukai bureš
We ushaanza kusinzia niniš¤£š¤£Na kugombea bocha za mjeo uku wao ni bass wa tra ššš wakumbeshe wapige mswaki morng sasaiv
šššššš¤£š¤£š¤£Muhimbili wameanza kutibu wenye tatizo la nguvu za kiume, kudos
Sasa mimi mwenye tatizo la deep holes sijui itakuaje wanatuacha tujifie tu ššš
Mimi sina MBUNU yoyote Darlin g šššššš
Hii naijua hii, una mbwinuuu sio za nchi hii
Mwachiluwi haya tuma namba uungwe chap kwa haraka, boss kaamua
Ahaha namrushia pm namba yangu sio namba ya huduma kwa wateja niiweke hapa ššššš
Hii naijua hii, una mbwinuuu sio za nchi hii
Mwachiluwi haya tuma namba uungwe chap kwa haraka, boss kaamua
Acheni kumshobokea š¤£š¤£š¤£Em tumuoneš¤£
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa, I'd ingine namuogopa nani sasa? Km founder na moderators wake siwaogopiii, ndo awe yeyee?? anijiee taratibu, tena akae kwa nywilaaa khaaah.Hakujui kama wewe jeshi kutoka mbinga huko,haihitaji backup ya I'd ingine[emoji16]
Please doš¤£Content mpya.. new story ikifika nitashea š
Usihofu napenda nyie wanawake hustlers. Ningeweza kukuungisha zaidi na zaidi but but huku kujificha napo muhimu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niacheni nilale
Nina deni,hapa nililala nikiamka nawaza cake yenu namna naidesign.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka hapa chap unafutaššAhaha namrushia pm namba yangu sio namba ya huduma kwa wateja niiweke hapa šš
Sasa naonekana nasambaza ngwengwe makusudi.. huoni hata kama kuna mdada likuwa aolewe humu hizo fununu kama zamfikia mlengwa si msala huo.. alafu kulala ( uasherati, uzinzi sio ulijali ). Ulijari ni kuwa mwanaume unaweza tekeleza majukumu yako ya kibaba..Sasa Mwanaume ukiambiwa umemkula fulani si ulijali why unachukiaš š š
Nikiweka simu nakumbuka huku kuna heka heka natakiwa kusaidia watu chakula kiiveWe ushaanza kusinzia niniš¤£š¤£
Si ulale kama una usingizi jamani
Duuh asee dc hivi una mingapi sio 35 kweli kuwa makini umebakiza 5 mbeleHaya yote chanzo ni nikki wa pili, kisayansi sphincters zangu zishalegea hata ubongo wangu huwa unaacha kufanya kazi yake sawasawa. Baada ya hapo utumbo wangu umeanza kushambuliwa kwa kasi, ndio maana huwa hawatoboi miaka 40
Tunataka kujua kwanini ulitelekezwa na mdhunguuuAcheni kumshobokea š¤£š¤£š¤£
Dogo kalale achana na umbeyaNikiweka simu nakumbuka huku kuna heka heka natakiwa kusaidia watu chakula kiive
Sina ujasiri uho hapa kuna masijala hapa jf tena watunza kumbukumbu wako vzr ujui tuWeka hapa chap unafutašš
Kwani watoto wa shemeji wako wapi, au wanakutegeaNikiweka simu nakumbuka huku kuna heka heka natakiwa kusaidia watu chakula kiive
Sawa kaka unanifukuza kesho hakuna shulDogo kalale achana na umbeya
Eti Masijalaš¤£š¤£š¤£š¤£Sina ujasiri uho hapa kuna masijala hapa jf tena watunza kumbukumbu wako vzr ujui tu