Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa, I'd ingine namuogopa nani sasa? Km founder na moderators wake siwaogopiii, ndo awe yeyee?? anijiee taratibu, tena akae kwa nywilaaa khaaah.

Uduguu selfika nione rangi ya mtume [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa naonekana nasambaza ngwengwe makusudi.. huoni hata kama kuna mdada likuwa aolewe humu hizo fununu kama zamfikia mlengwa si msala huo.. alafu kulala ( uasherati, uzinzi sio ulijali ). Ulijari ni kuwa mwanaume unaweza tekeleza majukumu yako ya kibaba..
Dunia na walimwengu wake yaani Jf ina watu ukisikia vile wanaeneza uwongo na uzushi huko pm unaweza shika🙆🏾‍♀️
 
Bado wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeanza kunitukana? Coca wewe ni nguvu kazi iliyopotea lakini bado naamini unaweza kurudi kwenye mstari

Kuna falsafa nitakusaidia kukupa, na zitabadilisha mambo mengi kwako.
 
Hii ime expire maana msemaji ana aibu sahii hata huu uzi hafiki 🤣
Anahisi muda wote nitamsuta

Nataka story mpya content creators 😂😂
Km mmefulia niulizeni basi
Okay tupe mpya basi🤣
 
Uduguu selfika nione rangi ya mtume [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rangii ya mtume halisi haionekani hovyooo, labda unataka inayotokana jiki ya buku kwa jero pale Mwembe Yanga.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu nalalaa, kesho shambani kuvuna mahindii, famchezo nn??
 
Dunia na walimwengu wake yaani Jf ina watu ukisikia vile wanaeneza uwongo na uzushi huko pm unaweza shika🙆🏾‍♀️
Unashangaa huyu wana mzunguzmia mie au ni mtu mwingine.. unakuwa confused... mtu hujawai hata onana nae, na unakuta kuna watu wana mjua humu na kumuheshimu unaunganishwa nae kwenye tela.. wengine wana ndoa zao na familia zao.. unaunganishwaa.. likatokea la kutokea inakuwa tafrani tupu.. kweli JF wengi hawana kazi nimeamini ndio maana unakuta mtu yupo humu 24/7 😅😅
 
Back
Top Bottom