Selfika na JF: Snap it. Show it

Uuwiii
Shem kama shem umetoa wapi tena huyu kivuruge wangu jamanii
Nitaweka wapi sura yangu mimi wallah
Umeona sasa shem umeharibu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Amefika mwenyewe anasema moyo ulikuwa unamuenda mbio sana
 

Hahahhaha[emoji38][emoji38][emoji38]
Hadi huyo dada, ni mpole sana jaman hanaga shida na mtu, hadi kupitia comments zake anaonekana hapendi ugomvi na mtu
For her sake waloge tuu[emoji19][emoji19]
Rogaaaa, rogaaa wote pambafuuuuu[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema habari za vyeti zilinichekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Habari ya mkesha hawaijui, habari ya Kanisani hawaijui

Wamepaona Chimwaga wakaunga stori kuwa alimsindikiza kuchukua cheti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole bro achana nao, mambo ya kuzushiwa yanauma sema ndo binadamu midomo mali yao hawalipii VAT

Km vipi wapotezee, kwan wanaongeza nini kwenye maisha yao
Mimi mambo ya kuzushiwa hayajawahi niuma
Yananichekesha


Yaani washikilie hapohapo wazidi paisha jina langu,nikifungua rasmi bakery ni mteremko tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uuwiii
Shem kama shem umetoa wapi tena huyu kivuruge wangu jamanii
Nitaweka wapi sura yangu mimi wallah
Umeona sasa shem umeharibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaa hadi bas, wee Mjep hebu waambie watu, mie ni nani kwakooo?? Mie kujibu naona kaziii.
 

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sijui kaamkia wapi jaman, kaja kama upepo wa kisuli suli
 
😬😬 hawana maaana hawaa viumbe.. walivyo wao wanafikiri wote tupo hivyooo... jumamisi twende beach mdogo wangu.. aisee.. mpe pole mama mchungaji maskini, dada watu kajinyookea wanamuungaisha kwenye matukio ya hovyo hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…