Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,362
Hivi nawewe unaamini nakupendaga walahi mie sijawahi kukupenda seriousYangu ni hayo tu
Hivi nawewe unaamini nakupendaga walahi mie sijawahi kukupenda seriousYangu ni hayo tu
Usijali
Ni biashara tu hakuna kingine.
Na hata hiyo namba ninayompa wala siitumii mimi.
Mimi nina babe humu,na ana password yangu.
Njoo na ID YAKO tulioizoea unichambe sio hiyo😂😂😂 jamani unatia huruma uonapo mifupa jua wapo walio kula nyama wakaacha mifupa 😂😂😂😂😂
😂😂😂 kumekucha huna hadhi ya kugombea bwana na mimi 😂😂😂😂Mtu analia anaona ndege anapaaa kama emirates pole labda next year nitamrudisha akiwa kanenepa maana sasa hivi amekomaa kama wewe Mydevran katulie kwenye upepo wa bahari usije ukafee na preshaa njoo na ID yako tuliokuzoea ndio unichambee
[emoji1787][emoji1787] wala sina matumizi nayo ndio maana inabidi atumike mtu mwingine tena naye atamuingizia kupitia wakalaHiyo namba atume kwangu ni forwad kwako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Abiria chunga mzigo wako
Hunijui labda mie sigombani na mtu wanakuja wenyewe pole .😂😂😂 kumekucha huna hadhi ya kugombea bwana na mimi 😂😂😂😂
Unique potezea bhna hivi kweli unampenda mtu ujawai muona? Ndoa yangu sasaiv iko moto sitak kelele za majiraniHivi nawewe unaamini nakupendaga walahi mie sijawahi kukupenda serious
[emoji1787][emoji1787] wala sina matumizi nayo ndio maana inabidi atumike mtu mwingine tena naye atamuingizia kupitia wakala
Najua unanizingua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuamini bana natania tu
Unakumbuka kuna siku nilikuambia nitakuungisha cake ukanichukulia powa powa, si umeona babe kafanya yake
Nakumbuka wema wako wa kumnunulia bi mkubwa vitenge. U deserve more kuliko cake[emoji8][emoji8][emoji8][emoji182] Wee mchugga utanifanya niwe chizi
Najua unanizingua
Kama ulivyomzingua mzungu Koko ukamtelekeza mazima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe nyie hii kapo siyo ya mchezo mchezo[emoji7][emoji7][emoji7][emoji91][emoji91]
Endelea kushikilia hapo hapo dada
Mie niendelee kupata oda[emoji23]
Nakumbuka wema wako wa kumnunulia bi mkubwa vitenge. U deserve more kuliko cake
Utajazia na maji!😁😁😂😂😂🙌
Sishibi hapo
Niliwamiss pia!☺️☺️Mpishi tulikumiss😍
mshamba_hachekwi dada yako unaomuona mdomo ipo siku utamponzq 1🤣🤣🤣Mjep nilitaka kumfukua mpenzi wako hadi aje amekuja na ID mpya anadai nikukome ila angekuja pm kama ipo wazi nichambwe ila kweli nimeifunga ila ningechambwa sana
Mdomo utaniponza sijamfuata mtu mie nimefuatwa nisiseme nani aniponzee nimepitia mengi nyie watoto so mie siogopagi hata awe na picha zangu za ukweli akanitishia anapost apost.tu tena namuongezeamshamba_hachekwi dada yako unaomuona mdomo ipo siku utamponzq 1🤣🤣🤣
Mie waje wote wanichambee wakimaliza sura hawana
Ahaahahha embu tupe briefly uliyo yapitia 🤣🤣Mdomo utaniponza sijamfuata mtu mie nimefuatwa nisiseme nani aniponzee nimepitia mengi nyie watoto so mie siogopagi hata awe na picha zangu za ukweli akanitishia anapost apost.tu tena namuongezea
Wewe atapewa baba watoto tuAhaahahha embu tupe briefly uliyo yapitia 🤣🤣