YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
akizira wewe upo mtoto mweupeee[emoji39]
Mimi sitaki vitoto si Jack aliwaambia mum support, mshaanza tamaa tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
akizira wewe upo mtoto mweupeee[emoji39]
Wuuu huyo ni pisi halali kabisa ya bloo National Anthem na napataga offer kibao tu kama shemeji😋 so hapo hapana totoo😂akizingua uanidalalia kwa depal😁
Napenda wanawake hustlers, nitakuungisha hiyo ya 1kg japo sikuwa nahitaj. Weka njia za malipo nione nafanyaje kulipia
Tumekubali yote mbonaMwaka huu ni wenu mwendo wa kuibiwa
Wewe kweli nampenda Mjep kama ameoa aseme mie nampenda namkubali hakuna humu ambaye nitakuwa naye zaidi yako babe wangu yaani ujue hapa natamani nikamwogeshe tu mpenzi wangu katoka kazini kachoka nimfanyie massage na mafuta ya olive oil huku akiwa anapewa maneno yenye hisia kali ya mapenzi wanguu kweli mwambieni i love him so muchMaua una mizuka na mizee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona shem wangu Mjep sio mzee jamani
Hebu selfika kwanza utustue humu shem ajue kapata toto hswaa
Humu walizingua saivi nimeamua kuwa mpenzi wangu ni kuchart kama hanipendi wa sasa basi mie nipo tu kama weweTumekubali yote mbona
Duh sawa ngoja tuoneHumu walizingua saivi nimeamua kuwa mpenzi wangu ni kuchart kama hanipendi wa sasa basi mie nipo tu kama wewe
Wewe kweli nampenda Mjep kama ameoa aseme mie nampenda namkubali hakuna humu ambaye nitakuwa naye zaidi yako babe wangu yaani ujue hapa natamani nikamwogeshe tu mpenzi wangu katoka kazini kachoka nimfanyie massage na mafuta ya olive oil huku akiwa anapewa maneno yenye hisia kali ya mapenzi wanguu kweli mwambieni i love him so much
Sio kweli nilijua lazima awe na mtu ila niliona nisiwe mwenyewe ni bora waje wengine wafunguke hisia zao . Ili wawe huru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maua shosti angu kweli umezama na kutoka huwezi, na jana ule uzi ulitaka ujue nani yupo na Mjep
Yaani weweWuuu huyo ni pisi halali kabisa ya bloo National Anthem na napataga offer kibao tu kama shemeji😋 so hapo hapana totoo😂
Tutaangalia pengine lakini, usijali
Sio kweli nilijua lazima awe na mtu ila niliona nisiwe mwenyewe ni bora waje wengine wafunguke hisia zao . Ili wawe huru
Ila kanipendaga sana siku mingi ila nilikuwa busySawasawa pambania goli, mpende mwaya usijibane bane [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me shangazi yako totoo, af napenda pesavipi kwako😁 mbona unanikwepa
Post zangu zina nini dada MauaNational Anthem njoo soma post za Lenie mmh!
🤣🤣Tajiri nitumie vocha Boss mwenye crown namba F ac mpka unaganda
[emoji1787][emoji1787] hapana nitanunua but nitamuambia uichukueAfu nimpe location inakotakiwa kuja [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣Me shangazi yako totoo, af napenda pesa
Tulia utapata vijana wenzio
Ila kanipendaga sana siku mingi ila nilikuwa busy