Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,182
- 96,004
Sasa nawaomba, msiwe mna taja wazazi angalau🙏🙏Inategemeana na kichwa changu wakati wa kudiss 🤧🤧🤧🤧🤕
Sasa nawaomba, msiwe mna taja wazazi angalau🙏🙏Inategemeana na kichwa changu wakati wa kudiss 🤧🤧🤧🤧🤕
Safiii,Mtani wangu huyo jamaa ni famous FB huko.
😮😮Sasa nawaomba, msiwe mna taja wazazi angalau🙏🙏
We SI una wazazi???
Yes wapoWe SI una wazazi???
Uta jisikiaje mtu awatusi tu??, Bila wao kufanya kosa lolote??Yes wapo
I MEAN NO MALICE TO NOBODY 😑Uta jisikiaje mtu awatusi tu??, Bila wao kufanya kosa lolote??
👉Au kuhusika na Jambo lolote??
So nadhani Ume elewa inavyo Uma na kuchukiza🤔.I MEAN NO MALICE TO NOBODY 😑
Understood 👍So nadhani Ume elewa inavyo Uma na kuchukiza🤔.
👉Mdiss mtu Kama mtu, sio wazazi aisee coz hujui wame mtoa kijana sehemu ipi na gani??
👉Wazazi ni viongozi wetu duniani, so kuwa tukana ni kutafuta laana tu.
So Natumai sito ona mna diss wazazi,Understood 👍
Sijambo.Hujambo jirani
😂😂😂Anakusumbua tu, hakuna mteja hapo. Huyo vyake vijora
una mtu unataka ukampasueDah Wana pangisha Bei gani??