Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Exactly na kwangu mimi naona ni vyema

UMHESHIMU ANAYEKUHESHIMU. sio asiyekuheshimu si unashuka naye jumla jumla tu.

Simpo. Oooh nimesahau we unasema huwezi muita changudoa sawa

Je mwanamke anayejiuza anaitwaje??

Embu nipe jina lake au ni mfanya biashara sio.

Huyu naye asikuchoshe wewe km unaanza kuchangamsha kijiwe anza tule burudani hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Afu pombe za leo zina roho mtaka fujo tupu!!!
 
Nakazia [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Lete ladha nishaanza kulewa
Ndo hivyo eti we ushaona wapi mwisho wa siku atamfunza mke wa mtu uchangudoa na yy aanze kudanga aachike bure.

Acha machangu wakae kivyao na mke wa mtu akae kivyake.

KILA MTU NA MAISHA ALIYOJICHAGULIA SIMPLE TU 😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom