Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Pitia hii Link ,
Kupata kisa chote, A-Z kuhusu utafiti wa Nelson, katika Ulimwengu wa Rohoni huko akifanya utafiti wake huko kwenye Ulimwengu wa Rohoni,

 
Paka huyo paka, paka mapepe paka
Umpe kuku na bata ujue hatotosheka [emoji108]

Teeeeenaaa [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Malaika wangu.. hana makando kandoa wala nini.. Paka paka mapepe utakuwa weyee banaaa 😂😂😂
 
changudoa ni tafsiri ya mtu, unaweza muona changudoa unakuta sio changudoa ila kwa tafsiri yako utaona changudoa.. kwenye maisha yangu siwezi muita mwanamke changudoa au malaya wote nawaheshimu
Exactly na kwangu mimi naona ni vyema

UMHESHIMU ANAYEKUHESHIMU. sio asiyekuheshimu si unashuka naye jumla jumla tu.

Simpo. Oooh nimesahau we unasema huwezi muita changudoa sawa

Je mwanamke anayejiuza anaitwaje??

Embu nipe jina lake au ni mfanya biashara sio.
 
Exactly na kwangu mimi naona ni vyema

UMHESHIMU ANAYEKUHESHIMU. sio asiyekuheshimu si unashuka naye jumla jumla tu.

Simpo. Oooh nimesahau we unasema huwezi muita changudoa sawa

Je mwanamke anayejiuza anaitwaje??

Embu nipe jina lake au ni mfanya biashara sio.
anae jiuza anaitwa mama, mwanamke, mrembo.. kwa tafsiri ya maisha yangu.. maana tafsiri ya maisha hazifanani
 
Mh binti maua sio kweli😂😁🤣, sija wahi hata kuwa na Dem 😂😁
Sema tu ukweli baby shower ya mkeo hujaifanyia kwenu nikule kwa yule manzi cha ajabu alikupiga hela nzuri tu halafu ukadai nindugu yako kuja outing akaondoka gafla kumbe nijamaa ake aliwaona halafu ikawaje ukarudishiwa hela zako zote hadi chenji
 
Hayo mautrundu uduguuu alooooo[emoji1783][emoji16][emoji16]!! Hakiii mwamba anafauduuuuuuu [emoji39]

Anafaidi kweli hataki migume gume ilioshindikana na mtume, imekomaa sura mpk visigino

Weusi km usiku wa balaa, wakilia km tank la lita 3000 linamwaga maji[emoji108]

Wamejaa nongo mwanzo wa kichwa mpk unyayo, bwana nimemkamatia nitawapasia nikimchoka [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Back
Top Bottom