Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Utajijua kikodombwe utajijua
Bwana nammiliki hashtuki wala hatoki
Nampa vyote vya bara na pwani
Nyonga namkatia na dudu nampa kampani ya kulichomeka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo mautrundu uduguuu alooooo🤠😁😁!! Hakiii mwamba anafauduuuuuuu 😋
 
Unaweza tete au kumtetea ila pia ujue kiini .. ni kama ukute watoto wawili wanagombana.. ukiwa mzazi mwenye hekima.. utaamua kwa upendo na kuunganisha.. sio kuchochea wagombane..
Utawezaje kuunganisha CHANGUDOA NA MKE WA MTU

USHAWAHI KUONA CHANGUDOA YOYOTE ANA MAHUSIANO YA KIRAFIKI NA MKE WA MTU. 🤣🤣😆😆🚮🚮🚮🚮.


WEWEEEE. KAA CHONJO
 
Utajijua kikodombwe utajijua
Bwana nammiliki hashtuki wala hatoki
Nampa vyote vya bara na pwani
Nyonga namkatia na dudu nampa kampani ya kulichomeka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hana heraa ndio maanake anajibu nyodo ujajua katolewa kwenye kile chama cha misaada tz ndio maana hawatumii tenna vocha cha 50
 
Utawezaje kuunganisha CHANGUDOA NA MKE WA MTU

USHAWAHI KUONA CHANGUDOA YOYOTE ANA MAHUSIANO YA KIRAFIKI NA MKE WA MTU. 🤣🤣😆😆🚮🚮🚮🚮.


WEWEEEE. KAA CHONJO
changudoa ni tafsiri ya mtu, unaweza muona changudoa unakuta sio changudoa ila kwa tafsiri yako utaona changudoa.. kwenye maisha yangu siwezi muita mwanamke changudoa au malaya wote nawaheshimu
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ... kwa mpalangeee eeeh...

acha nisake hela nimtunze D wangu vizuri.. asije enda kwa mapalange huko.. akawa na maneno kama ya Cute Wife lol

Paka huyo paka, paka mapepe paka
Umpe kuku na bata ujue hatotosheka [emoji108]

Teeeeenaaa [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Cazee humu tunachangamsha genge havina uhalisia ila kuwa single no nitajipachika hata kwako mjomba atufungishe ndoa ya mkeka
acha maneno leo utakuwa wapi.. nije nibinye binye hata chuchu hizo.. maana mzigo umegoma kutoa
 
Back
Top Bottom