Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🖐️🖐️💯💯. Exactly

Mi mtu amchokoze mwanamke nimpendaye

oyaaaaa oyaaaa oyaaaa

Patachimbika nguo kuchanika yaani itakuwa ni vuta nkuvute ya sayari nyingine.

Yaani itakuwa balaaaa kubwa.

Inaumiza sana moyo kuona umpendaye ananyanyaswa weeeeeh hapo hapana aseee no.

Nita attack vibaya sana 😊😊😊😊
Ko una tangaza Vita na nani mlipuzi Penseli 4 😂😁🤣
 
Unayoo sema kapasso nawe umo iwa taarifa yako kama unanyapia humu kademu au njee kademu fulani taarifa nilizozipokea ni hizi yupo na mjeda na anacheo na amejazia tutakukuta siku moja upo juu ya mti wa ubuyu kwa sadala shauri yako
Ewe Binti Maua nime kukosea nini Lenie 🤣😂😂.
👉Mi jobless tu 🤣😁
 
 
 
Back
Top Bottom