National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Hapa hata sielewi.. naona picha pichaa tu.. acha nikatulie mahala nipate maji
Anze kwa muamala halafu mengine tutafuata
Mi hata tairi ya kuchora Sina😂😁Yeah huvuti ni unakunywa vile vitu laini wine , wine nyama laini laini nakile kigari chako cha ukoo unarembuaga na ile hair cut yako ila demu alisepa
😅😅😅 buza kwa mparange au mawazo yangu machafu... niitie Depal wangu kwanzaaaNa nina kiuuuu jombaa😋
Tusomane badae nikitoka Buza
Twende golden fork kamanda.Hapa hata sielewi.. naona picha pichaa tu.. acha nikatulie mahala nipate maji
Na umejaaliwa nacho 😁!Umbea kipaji😂🤣😁
Pesa ndogo hii toa mzee baba
nitakuwa mlimani city dk kama 5 zijazoTwende golden fork kamanda.
😂🤣😁🤣Atoe aache janja janja za nyani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Twende golden fork ya mikocheni ndo pazurinitakuwa mlimani city dk kama 5 zijazo
🖐️🖐️💯💯. Exactlykumdhalilisha mwanamke kwa namna yoyote ile.. na hatutakuwi kuwanyima furaha
we ajuza una maneno machafu 😅😅😅Inakuuma bi shosti, hupati bwana wa maana [emoji108]
Na hilo umbo la jiti, utahangaika sanaaaa
[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222] nimemiss kusikiliza taarabu
Ok,nitakuja kuwa join
Japo sijui kusoma, ila Hauwezi kula mayai vinza na supu ya maganda ya mayai😁😂Na umejaaliwa nacho 😁!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🕺🕺🕺🕺!🖐️🖐️💯💯. Exactly
Mi mtu amchokoze mwanamke nimpendaye
oyaaaaa oyaaaa oyaaaa
Patachimbika nguo kuchanika yaani itakuwa ni vuta nkuvute ya sayari nyingine.
Yaani itakuwa balaaaa kubwa.
Inaumiza sana moyo kuona umpendaye ananyanyaswa weeeeeh hapo hapana aseee no.
Nita attack vibaya sana 😊😊😊😊
Juzi ulivyoachwa ile pub shida ipo wapi??maana hakuwa mqute sana ila kwa zigo limekaa ulikosea nini au mshiko ulikuwa wakuunga best??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆 AiseeeInakuuma bi shosti, hupati bwana wa maana [emoji108]
Na hilo umbo la jiti, utahangaika sanaaaa
[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222] nimemiss kusikiliza taarabu
🖐️🖐️💯💯. Exactly
Mi mtu amchokoze mwanamke nimpendaye
oyaaaaa oyaaaa oyaaaa
Patachimbika nguo kuchanika yaani itakuwa ni vuta nkuvute ya sayari nyingine.
Yaani itakuwa balaaaa kubwa.
Inaumiza sana moyo kuona umpendaye ananyanyaswa weeeeeh hapo hapana aseee no.
Nita attack vibaya sana 😊😊😊😊
Usiwire mankaa deaba itakuwenyo ni ngwesha tu. Una uki eeh? 😂 😂 😂Na nina kiuuuu jombaa😋
Tusomane badae nikitoka Buza