National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
❤️❤️❤️😂😂😂❤️🚶♀️
❤️❤️❤️😂😂😂❤️🚶♀️
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!Nili kumiss mnywanii🏃🏃
Nimekutext mbonandio maana nakupa manyotaaa sanaaa🔥🔥🔥... nifungulie basi 🙂🙂
kunyoosha ushindi sio udhaifu 😅😅😅 ukivuliwa taulo chutamaUme surrender [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
goja nioneNimekutext mbona
Hahahahaaaaa mtoto mzuri mambo vp lakn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Nakuaminia mjombaa ulikua hujibaniii kabesaaa!! Ulijua kutubless mivouchaaa ya beiii Jamani ubarikiwe sana!!😅😅😅 zilikuwa za 150k mbona ..😅😅 ikiwa poa sana kama zamani nitakuka weka mzigo hata wa 500k
mie nakutaka wewe tuAkhu!! Mwenyewe simtaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo yeye arudi kwa tunda tyuu!! Tumsindikize na matarumbeta akaombe warudiane
Wala ni anaheshima kipenzi , ni mtu mzuri atakupeleka Dubai nenda mpenzi usiachie bahati hiyoAkhu!! Mwenyewe simtaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo yeye arudi kwa tunda tyuu!! Tumsindikize na matarumbeta akaombe warudiane
Hahahaaaaa acha zako wewe 😂🤣Nakuona, nakuona unakula tu ubuyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akukubalie unywe pombe zabei mtumie basi muamala unaongeaga tu hebu tumamie nakutaka wewe tu
😅😅😅😅 yeye tu atume account namba ya USD au PoundAkukubalie unywe pombe zabei mtumie basi muamala unaongeaga tu hebu tuma
Ule Uzi wa jokes, hata muhusika ana jua[emoji23][emoji16][emoji1787]
🥸🥸🥸🥸 sijamuona aiseeOya National Anthem na mshamba_hachekwi mme muona Yule dogo Anthony Schmidt 🤔
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa!! 😊Mselfike wadau
Punguzeni story
Wekeni selfie
Mwenzako National Anthem kapata jiko harriiiiiOya National Anthem na mshamba_hachekwi mme muona Yule dogo Anthony Schmidt 🤔