Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa huyu nikimaliza tu kutoa umbeya wake ananitoa sadaka , ila nakupa pakuanzia tu nawewe umalizie alipata demu humu nanimtu mzima kiasi anakatoto kake kazuri , kakike wakaanza kudate na inshort huyu dada alikuwa kwa National Anthem si yule kademu kake akajua akafanya vurugu huyu dada wa jf akazira hadi naleo , mbaya zaidi kale kademu muda sio mida kakahama hapo saivi ndo anamfukuzia demu fulani humu sijamjua jina la utani humu ila ndio ukweli .alipigwa saivi ukimwangalia vizuri anashtuka shtuka kutokana na kichapo .

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ***** kumbeeee!! Afu anajifanya baba askofu kumbe ndiye lucifer mwenyewe!!!! Maua shogaangu wewe ni kiboko

Ahsantreeeeeeee kwa kunifungulia code
 
Kumbuka yule dada wa jirani mlikuwa mnamwita tunda ukamwomba gemu ukapewa mkaanza mahusiano right?? Huku ukadai unataka kubadili mboga yule demu uliyempata humu akawa anakuja jioni halafu baadae tunda akajua ukala kichapo huyu dada wa jf akakasirika ndio ukatemwa mazima . Kumbuka sakata hilo tena ulimpata kigafla tu alikufuata inbox

[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222] Hapo chacha
 
Back
Top Bottom