Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,434
Sasa Mbona una semaga huni pendi🤔😪🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!
Hakii Nimecheka kama chizii Intel wee ni mwehuuu ujue hahahaaa!!
Miss you too mnywanii 😊!
Sasa Mbona una semaga huni pendi🤔😪🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!
Hakii Nimecheka kama chizii Intel wee ni mwehuuu ujue hahahaaa!!
Miss you too mnywanii 😊!
😅😅😅😅😅 nadekezwaaa tuMwenzako National Anthem kapata jiko harriiiii
Kampata gube gube yupi??😂🤣😁Mwenzako National Anthem kapata jiko harriiiii
Wewe jibu basi kuhusu hiyo mada au ?? Ningekutaka ungesema hapana ila nahitaji kufahamu kuhusu hilo??😅😅😅😅 yeye tu atume account namba ya USD au Pound
I swear sija wahi maanisha, beside nili sema mpaka 2024 labda😂😁Hujapigwa chini kweli? Isije kuwa umevunga kiume pacha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wala ni anaheshima kipenzi , ni mtu mzuri atakupeleka Dubai nenda mpenzi usiachie bahati hiyo
National Anthem umeona ehKampata gube gube yupi??😂🤣😁
Wapi nimesema nakupenda weee??? 🤔!Sasa Mbona una semaga huni pending🤔😪
Sawa .. nakujibu basi mpenzi wangu kipenzi 🙂🙂🙂🙂.Wewe jibu basi kuhusu hiyo mada au ?? Ningekutaka ungesema hapana ila nahitaji kufahamu kuhusu hilo??
What??SeriouslyDubai ya bonyokwa labda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shostito unaniuza kilejaleja mchana kweupe??
mie nakutaka wewe tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Akikujibu nitag uduguuu 🤠Hujapigwa chini kweli? Isije kuwa umevunga kiume pacha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akukubalie unywe pombe zabei mtumie basi muamala unaongeaga tu hebu tuma
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] yeye tu atume account namba ya USD au Pound
Sawa Cute Wife haamini utampeleka dubai i'm out for the while so i wish utanipa ubuyu baadaeSawa .. nakujibu basi mpenzi wangu kipenzi 🙂🙂🙂🙂.
Naomba nikujibu vizuri na kwa urefu
Eh atume kama laki mbili tatu ukashereke ubadilishe mbogaNakazia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo Yuko 15 yrs Ila ana penda kufanya na kufatilia design za magari.🥸🥸🥸🥸 sijamuona aisee
I swear sija wahi maanisha, beside nili sema mpaka 2024 labda[emoji23][emoji16]
Sawa usijali.Sawa Cute Wife haamini utampeleka dubai i'm out for the while so i wish utanipa ubuyu baadae