Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Kwanini jamaniIla nimeona wivu 🤗😋
Kwanini jamaniIla nimeona wivu 🤗😋
😅😅😅😅😅 eee.. ilikuwa pazuri tunaishi kwa upendo na furaha.. hapakuwa panaboaAcha tu mjomba ile mivocha ya Elfu 50 laki humu dah!!!
au atakuwa anadeka dekaaa .. maana shangazi huyo kwa Mideko hajambo 😅😅Mbantu yupooo mjomba atakua ametingwa nahisi ! Bantu Lady
Acha tu 😌 ila imenibidi tu niseme ya moyoni maana ni tiba 😄Kwanini jamani
Ila nimeona wivu [emoji847][emoji39]
mie nafukuzia huyo huyo Cute Wife 😅😅 umeishatibua mazimaMie nimekukorogea story naogopa kuipangilia kwa maana siwezi msema huyu asije akakataliwa ananyapia mtu
Acha utani bhana mweh njoo unifundishe kuhusu kutumika kwa nyota au useme hapa😅😅😅😅 tulia tu weye si jeuri banaaa... utakula jerudi yako.. PM mbona kuna ulinzi sasa.. nakuja kujisalimisha .. usiendelee mwaga mboga
Hahahahaaaaa mtoto mzuri mambo vp lakn 😂😂😂🤣raraa unafatilia umbea hata likes hutoi leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili la nyota nataka ukuje unielezee au niseme ukweli wako wote humu sasa manaa ule nimekoroga wasielewe ukweli nipangilie au unakuja PM uniambie mnatumiaje nyota yangu
Nili kumiss mnywanii🏃🏃Njema sana!
Mie nimekukorogea story naogopa kuipangilia kwa maana siwezi msema huyu asije akakataliwa ananyapia mtu
Ule Uzi wa jokes, hata muhusika ana jua😂😁🤣Wewe tena na uzi juu pacha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkubalie best yetu National Anthem anahela sio sa msimu full[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maua usiende piem puliiiz utanikosea shosti ako hebu nipe ladha
😂😂😂❤️🚶♀️
Yaniiii nilivo slow vocha za elfu 50 zote nilikua siambulii hata moja lol!🤠😅😅😅😅😅 eee.. ilikuwa pazuri tunaishi kwa upendo na furaha.. hapakuwa panaboa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] tulia tu weye si jeuri banaaa... utakula jerudi yako.. PM mbona kuna ulinzi sasa.. nakuja kujisalimisha .. usiendelee mwaga mboga
ndio maana nakupa manyotaaa sanaaa🔥🔥🔥... nifungulie basi 🙂🙂Mkubalie best yetu National Anthem anaha sio sa msimu
😅😅😅 zilikuwa za 150k mbona ..😅😅 ikiwa poa sana kama zamani nitakuka weka mzigo hata wa 500kYaniiii nilivo slow vocha za elfu 50 zote nilikua siambulii hata moja lol!🤠