Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,434
Madam santo Domingo, MambošMnoooo!
Madam santo Domingo, MambošMnoooo!
nasoma vizuriii kabisa.. mtoto mzuri šššSikia tuliwahi chart inbobo kuhusu jambo la hela so kakwenye mstari@national anthem unasoma au??
Sikia bhana natania hebu njoo PM Unileezee jambo au nifuree sasa hivi
Ohoooooo baby wako tena šāāļøšš¤£ haya mpe hiii š¶āāļøDereva ni baby wangu so yuko makini na nimemkamatia vema tu kwa kiuno
kaushaa basi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Pastor mzima nifanye mambo hayaaa hapanaa
š š š š .. amini tu sasa.. mie sijawai nilitaka nianze kwako.. na wewe umekuwa mbanizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hili linaokena lina ukweli ndani yake usinitoe kwenye reli
Wuuu ngoja waje wakuanike šMimi wame fika 50šš¤£š
Zimefikaa š„°š„°Ohoooooo baby wako tena šāāļøšš¤£ haya mpe hiii š¶āāļø
ila one day itakuja kuwa yes.. binadamu tunapishana na kuna kipindi huwa tunakuwa sawaaa tenaa... hadi napata uvivu wa kutupia vocha za buku tano tanoo shangazi wangu šššMnoooo!
Mimi wame fika 50[emoji23][emoji1787][emoji16]
Ila nimeona wivu š¤šZimefikaa š„°š„°
Njema sana!Madam santo Domingo, Mamboš
Hili la nyota nataka ukuje unielezee au niseme ukweli wako wote humu sasa manaa ule nimekoroga wasielewe ukweli nipangilie au unakuja PM uniambie mnatumiaje nyota yanguš š š hakuna ukweli hapo .. mie sijawai date na mtu humu.. kwanza warembo wote humu wamefunga pm.. naanzaje sasa tupa ndoana
Sawaaa shangaai wangu Bantu Lady kaenda waaapi šÆšÆHata sina jipya mjombaa! Usijareee nikipiga ntakutag!
Acha tu mjomba ile mivocha ya Elfu 50 laki humu dah!!!ila one day itakuja kuwa yes.. binadamu tunapishana na kuna kipindi huwa tunakuwa sawaaa tenaa... hadi napata uvivu wa kutupia vocha za buku tano tanoo shangazi wangu ššš
Mie nimekukorogea story naogopa kuipangilia kwa maana siwezi msema huyu asije akakataliwa ananyapia mtuWanayamwaga sana humu sijui kwann mkipigwa pipe mpk msimulie?? Ni upumbavu kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
š š š š tulia tu weye si jeuri banaaa... utakula jerudi yako.. PM mbona kuna ulinzi sasa.. nakuja kujisalimisha .. usiendelee mwaga mbogaHili la nyota nataka ukuje unielezee au niseme ukweli wako wote humu sasa manaa ule nimekoroga wasielewe ukweli nipangilie au unakuja PM uniambie mnatumiaje nyota yangu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].. amini tu sasa.. mie sijawai nilitaka nianze kwako.. na wewe umekuwa mbanizi
Mbantu yupooo mjomba atakua ametingwa nahisi ! Bantu LadySawaaa shangaai wangu Bantu Lady kaenda waaapi šÆšÆ