Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,434
Ni dogo anaye penda kufanya na kufatilia design za magari ya zamani.kafanyeje
👉Tim cook kamwita, na ma ceo Kama wawili. Mcheki
Ni dogo anaye penda kufanya na kufatilia design za magari ya zamani.kafanyeje
Sitaki umbea😂😁🤣,Ko wale mawifi nao ni jokes?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri waje wagawane shati hilo
Asante mywaniiiiii😁😂🏃🏃Nimekujibu kwa sauti ya Kapachino the great mnywanii wee chizii!!🤠
au umekaaangwaaa mzeee kama Dahan alivyo mpaisha mtuSitaki umbea😂😁🤣,
Sema Ms eyes angalau😂😁🤒Ko wale mawifi nao ni jokes?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri waje wagawane shati hilo
Afadhali nimekuona, afadhali tumeonana. Nilikaa kinyonge sana tajiri😂😂Mselfike wadau
Punguzeni story
Wekeni selfie
I swear bhana, sija interest hizo Mwaka huu😂🤣😁au umekaaangwaaa mzeee kama Dahan alivyo mpaisha mtu
huku sie wapo wa miaka 20+ wanagombania mashangazi JFDogo Yuko 15 yrs Ila ana penda kufanya na kufatilia design za magari.
👉Kasha itwa na Tim cook, Kuna kampuni 3 ma ceo wame mwita
👉Kasha andika kitabu ni 🔥🔥
Hayaa selfika basiii punguza u motivational speaker basiii! Humu ni kuselfika kwakwenda mbereeeee🤳Asante mywaniiiiii😁😂🏃🏃
What??Seriously
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Akikujibu nitag uduguuu [emoji1783]
Kasha andika kitabu, naona Tim cook Ali mwita, SI una jus apple Wana project ya magari??.ana hela au ana nini sielewi mi najua ni photographer
Haya tumekusikia Kila mmoja na interest zake buanaaa Hebu tupieni mafotooo kwanzaaaaI swear bhana, sija interest hizo Mwaka huu😂🤣😁
nikupeleke gheto kukutiaa 😅😅Unipeleke wapi baba tunda? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eh atume kama laki mbili tatu ukashereke ubadilishe mboga
Sawa mchumbaa 😍😋Leo ngoja nikuonyeshe nilivyopika sasa😋😂
Aiseee🤔🤔🤔🤒🤒nikupeleke gheto kukutiaa 😅😅
Sawa usijali.
Nitakupa Abc zote..
Nampeleka manhatan.. trump tower [emoji28][emoji28]