Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,434
Upo Kama Mimi😂🤣😁😅😅😅 hakuna ukweli hapo .. mie sijawai date na mtu humu.. kwanza warembo wote humu wamefunga pm.. naanzaje sasa tupa ndoana
Upo Kama Mimi😂🤣😁😅😅😅 hakuna ukweli hapo .. mie sijawai date na mtu humu.. kwanza warembo wote humu wamefunga pm.. naanzaje sasa tupa ndoana
🤣🤣🤣 Hatariii😅😅😅 kaisha pigwaa tayari na alie mpa info pamoja na muhalili wagazeti..
[emoji28][emoji28][emoji28] yani hadi nasahau mkeka wangu.. sio kweli aisee... huu mkeka wa mtu mwingine sio mie..
😅😅😅 tunaogopa siku hizi PM kama ukoma,Sikia bhana natania hebu njoo PM Unileezee jambo au nifuree sasa hivi
Kweli mapenzi ni utapeli,🤣😂😁, we wa kumuita kikongwe- mama😂😁🏃🏃sawa mama
kaushaa basi 😅😅😅😅😅Wa kwako usibishe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dereva ni baby wangu so yuko makini na nimemkamatia vema tu kwa kiunoOk hapo sawa alafu mwambie aende taratibu mshikilie vizuri sawa 😄
Dah kumbe wenzetu mna mabebi na hamsemi😂😁🤣Me naenda kulewa na baby wangu🤣🤣
Ile imeendaa mjombaa sidhani kama itakuja jirudia!!kipindi kile ilikuwa rahaa... ebu ijuduie basi wapendwa wetu 🙂🙂
Kadai ni uongoo ila kiukweli nimeoewa na mtu huo umbeya
toka nimejiunga humu sijawai tamkia mtu mambo za mapenzi.. napaogopa kweli kweli 😅😅😅😅.. tubaki hivi hivi tuUpo Kama Mimi😂🤣😁
King kiba in da building 🔥🔥View attachment 2709250
Kesho hatoki mtu
😔😔😔😔😔 ilikuwa nzuri sanaIle imeendaa mjombaa sidhani kama itakuja jirudia!!
weyeer acha kula tango pori banaaa [emoji28][emoji28][emoji28]
Hata sina jipya mjombaa! Usijareee nikipiga ntakutag!tuone hips 🙂🙂🙂
Mimi wame fika 50😂🤣😁toka nimejiunga humu sijawai tamkia mtu mambo za mapenzi.. napaogopa kweli kweli 😅😅😅😅.. tubaki hivi hivi tu
Mnoooo!😔😔😔😔😔 ilikuwa nzuri sana
Hivi kuna mtu hana bebe? Mnaishije sasa kama magaidi khaDah kumbe wenzetu mna mabebi na hamsemi😂😁🤣