Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,362
Sijui bhana ila mie sio fbi ninakusanya matukio yao naandika mimi nimwandishi wa habariKampa mimba nani.
Na walitumia style gani
Sijui bhana ila mie sio fbi ninakusanya matukio yao naandika mimi nimwandishi wa habariKampa mimba nani.
Na walitumia style gani
Kumbe watu huwa wanachukulia serious.
Lenie ona Sasa😂🤣😁Kwa lipi.??? Unajua wewe ninakustahii , tu kisa umesema we are friends nikaona ubuyu wako mpya misiseme ninao mkubwa hausu mutu humu ila namezea hapa na dagaa
Uchawi huu😂😁Kampa mimba nani.
Na walitumia style gani
Kama shetani kapitaIpo mojq ikiiingia hapa kila mtu anakuwa aanachungulia Dirishani
Nna watu Tena wadada tunaheshimiana Nje ya jf sijawahi ona wamenidhalilisha ht Siku[emoji28][emoji28][emoji28] mie najua wapi nitakudakaaa.. ila pendaneni dada zetu, mbona sie wanaume tunapenda, tunaheshimiana na tunasaidiana.. ndani ya jf na nje.. msiwe wachawi banaaa
Nicheme ulie au ??Lenie ona Sasa😂🤣😁
Tupo wastaarabu wapo marimbukeni uwezi kuta mwanaume kamili anaongelea mambo ya pm jukwaani au anasamba screenshot uko pm huyo ni ,shamba tu labda ni domo zege Kwahiyo kajitafuta kajipata joined 2008-2016 wengi wao mature sna
Corridor hii aisee ukiacha utan kuna watu Focus hapa ni 1000+Watu wanavipeleka kweli wifi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji1751][emoji125][emoji125][emoji125]mmezeeka sanaa hii dadaaa!!!!Shostito upo huku?? Njoo wambea tupate ubuyu wa jf huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe nicheme au nikustahiNna watu Tena wadada tunaheshimiana Nje ya jf sijawahi ona wamenidhalilisha ht Siku
Kuna kipindi mwanangu aliumwa aseehh alinitafutia mpk ustadh yule dada ..
Sijawahi kutana na jini makata JF nashukuru Kwa hilo
Kumbe tuna mwandishi wa habari humu ndaniSijui bhana ila mie sio fbi ninakusanya matukio yao naandika mimi nimwandishi wa habari
Unataka nikutafutie gazeti lako ili ulog out forever kipelekeshe tu
Leo hii ndio unaijua naogopa umri wakk ikute una 18
[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we mmestaafu saaa...hii wameingia virusi vya kimeta humuuu!!!We shosti nipe na mie ilo selfie si unajua tumetoka mbali toka enzi ya muke ya muzungu, mama Bhokenzo mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 UsemeeeeKwa lipi.??? Unajua wewe ninakustahii , tu kisa umesema we are friends nikaona ubuyu wako mpya misiseme ninao mkubwa hausu mutu humu ila namezea hapa na dagaa