😅😅😅 mie najua wapi nitakudakaaa.. ila pendaneni dada zetu, mbona sie wanaume tunapenda, tunaheshimiana na tunasaidiana.. ndani ya jf na nje.. msiwe wachawi banaaaNani nimemchukia?? Na kwa lipi?? Hebu mwambie aje front atoe dukuduku lake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada mambo vip ushahiba ugali?Umbeya tu sio bure umetemwa kazi undumilakuwili
Wapotezee tu shem darling wangu🤗inasikitisha sana shem 🙂🙂
ila mie nakaa kimya tu
Sasa je...Na ulipii
Hapana mwambie asante akutoe out wewe au hutaki
Ivyo tuSasa je...
mshamba_hachekwi kumbe wee lubaUnajua siwezi kusema maana niwale ambao ukiwafukuza hawatoki. Yupo yupo ila mie sijui hajatulia
Acha uongo na unafiki ,nani kakuita malayainasikitisha sana shem 🙂🙂
ila mie nakaa kimya tu
Ye anataka akutoe wewe iwe specialHapana mwambie asante akutoe out wewe au hutaki
selfika ya zamani ilikuwa powa sana.. tuliishi kama ndugu.. ila sijui kuna shetani gani hapa kaweka kambi.. [emoji28][emoji28][emoji28]... tuma picha kwanza
Mwache asije kulia luba nini??mshamba_hachekwi kumbe wee luba
Aisee mwambie hapana jana niliwahiwa so amechelewaYe anataka akutoe wewe iwe special
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila binti Maua 😂😂Acha uongo na unafiki ,nani kakuita malaya
Haya hao wambea wanaongeza nini maishani mwao,?
Kuna mtu alienda kusema uko mmimi msukuma makazi yangu mikocheni anielezea as if tumekutana nikampotezeà hapa ananijuà kwa face ni wawili tu lakin from no where mtu anakuelezea kuna muda ni kelo mwazo paliikuwa pametulia sana
King'ang'aniziMwache asije kulia luba nini??
Mwanzoni NilIkua mdau Huku ,yakaanza mambo meusi mmehama sipendi nimuamini Mtu then alete uswazi NilIkua najiposti Tena live kabisa
Sasa hv mmepumzika Kwa kweli
Imekula kwakeAisee mwambie hapana jana niliwahiwa so amechelewa