Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,434
Mbona Wana jijua🤣😂😁[emoji23][emoji23][emoji23] muwalete sasa hao michicha na evidence
Mbona Wana jijua🤣😂😁[emoji23][emoji23][emoji23] muwalete sasa hao michicha na evidence
NAMNA HII ndio tunataka sikiaNna watu Tena wadada tunaheshimiana Nje ya jf sijawahi ona wamenidhalilisha ht Siku
Kuna kipindi mwanangu aliumwa aseehh alinitafutia mpk ustadh yule dada ..
Sijawahi kutana na jini makata JF nashukuru Kwa hilo
Sasa hivi penseli ndo kiboko 😂😁Sio hio alkua mdada alkua anapeleka moto walikua wanamwita jikeshupa sjui Mkaanga sumu
Ndo mana mmechaguana na yule
sio kweli ni fununu tu, nyie mnajuaje wakati watu hawajulikani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kunichota akili, watu wanapelekeana miyoto humu, wewe tu hujabahatika
Samaleko raraa rereeEbhanaeeeeeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😋
Aah hio nliona siku moja inamwaga upupu nkasema hiiiihSasa hivi penseli ndo kiboko 😂😁
Great socialization 💪NAMNA HII ndio tunataka sikia
Na naniNdo mana mmechaguana na yule
,[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji2][emoji2][emoji125][emoji125]Weee!!!!thtaki miyeee...!!!
Mdogo ako nae si ananyoa kama weweNa nani
Ali mwambia Jamaa mmoja ni mchicha😂😁Aah hio nliona siku moja inamwaga upupu nkasema hiiiih
Eh 🤣🤣🤣Ali mwambia Jamaa mmoja ni mchicha😂😁
siasa mbaya hizi 😅😅😅Wee...achana na huyo mwambaa anakuektia tuu
Huyu ni Don yen kabisaa ..
Mastaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
😅😅😅 wanaume gani wana ugomvi aisee.. labda ma robotWewe mimi sina bifu na yeyote humu bana, unaweza kugombana na fake id?? Kwanza nahisi humu nachat na marobot maana sijawahi kuwaona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu mbona wanaume na nyie mnagombana? Huyo aliyekwambia ana bifu na mimi atakuwa anajishtukia!!! Mimi nina bifu na pesa tu
Mibolooooo🤣🤣🤣🤣🤣!Mabolo yamewagombanisha![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
!!!jamani byeee![]()
Hayanihusu ,mi Sina timu!!!![]()
![]()
![]()
![]()
Maleko msalaam 😄Samaleko raraa reree
sio kweli ni fununu tu, nyie mnajuaje wakati watu hawajulikani
Mimi ndugu yako uyo.. ila basi