YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Unaniuza mchana kweupee
Sikuuzi kweli Kantri mgodi unaotembea shogare [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaniuza mchana kweupee
Nikupige vijembe wewe ili iwe nn? Nikiamua kukuchana nakuchana live tutulia mzee, mbona vijembe
kwahiyo wewe ni pung'a😂nakupelekea moto
Auntiee upo eeh [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] embu kula chuma hicho [emoji3][emoji3][emoji3][emoji6]View attachment 2702455
Namtumia no ya wakala chaapMpiem namba aweke mzigo, hana shida ndogo ndogo mgodi umetema hapo
Mwenzio nimepewa dollar naenda bureau kuchange [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikupige vijembe wewe ili iwe nn? Nikiamua kukuchana nakuchana live tu
Huwa sipigi mtu yoyote vijembe, mimi nakupelekea moto live
Kumekucha kumekucha hii pasi imempata dobiAuntiee upo eeh 😊😊😊😊😊 embu kula chuma hicho 😀😀😀😉View attachment 2702455
Nimependeza wapi auntiee 😆😆😆🤣🤣🤣.Oyooooooooo mbona umependeza sana [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Nipe siri ya kupendeza kwako kwanza
kwahiyo wewe ni pung'a[emoji23]
tulia bana utaharibu uzi wa watu
Unaquote nakupelekea moto alafu unasema mm punga? Wewe uliyequote si ndio punga, au hujaelewa nilivyosema nakupelekea moto?kwahiyo wewe ni pung'a[emoji23]
tulia bana utaharibu uzi wa watu
Ngoja nikupe locationAfu sikuelewi wewe mwanaume ujue [emoji12]
Ile issue vipi sasa?!! Tuma pesa basi niende kwa mtoto iddy kesho nikatengeneze kucha [emoji8]
Namtumia no ya wakala chaap
haya basi mzee yaishe😂Unaquote nakupelekea moto alafu unasema mm punga? Wewe uliyequote si ndio punga, au hujaelewa nilivyosema nakupelekea moto?
🤣🤣🤣 Pasi ya mwendo kasi hiyo kabisa.Kumekucha kumekucha hii pasi imempata dobi
Kumekucha kumekucha hii pasi imempata dobi
Na hiki kibaridi vinashuka tuFanya hivyo tulewe sie shogare [emoji23][emoji23][emoji23]
Na alivyo kibonge sasa 😛Kachomekea leo mdogo angu kapendeza kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Thanks 🤗🤗🤗🤗🤗😃🙂Kachomekea leo mdogo angu kapendeza kweli [emoji23][emoji23][emoji23]