Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,386
- 95,818
HahahahahaAuntiee upo eeh πππππ embu kula chuma hicho ππππView attachment 2702455
HahahahahaAuntiee upo eeh πππππ embu kula chuma hicho ππππView attachment 2702455
Nimependeza wapi auntiee [emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mbona naona ni normal nilivyokonda sasa mpaka shati linaonekana limepwaya.
Yameisha, jealous sio mzukahaya basi mzee yaishe[emoji23]
π€£π€£π€£ Au sio.Na alivyo kibonge sasa π
Unaquote nakupelekea moto alafu unasema mm punga? Wewe uliyequote si ndio punga, au hujaelewa nilivyosema nakupelekea moto?
Leo umeamuaBongo fighting, aliyehumu ndani,tuwasiliane
Ngoja nikupe location
Uijie kesho
haya basi mzee yaishe[emoji23]
Na hiki kibaridi vinashuka tu
Dogo kuna muda anazingua, namuambia kwa sasa sitaki any quarrels haelewi.Mkalale km mmechoka
Na alivyo kibonge sasa [emoji14]
Huu urafiki wako na cocastic ukweli bado siukubali kabisa. Anyway......Nani kasema? Uko vyedi ile mbaya na unavyojiamini sasa jeshi la mtu mmoja [emoji1548]
Nakukubali hujawahi kuyumbishwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mzee umechukia leoDogo kuna muda anazingua, namuambia kwa sasa sitaki any quarrels haelewi.
Cute enzi izo mdogo na dada yangu umeiona
View attachment 2702460
Sio siri asa kwa wageni siku nitakupelaka mtwara ukamuoneNimempenda mama yako mpe hi [emoji8][emoji8]
Anaonekana mama mwenye upendo sana
[emoji1787][emoji1787] kuchukia kwangu big no. Mimi ndio hufanya wengine wachukie, lakini mtu kunifanya mm nichukie hiyo ngumu mnoKweli mzee umechukia leo
Dogo kuna muda anazingua, namuambia kwa sasa sitaki any quarrels haelewi.
Yes,pasi imefanya kazi yake,safi sana,ukisikia mtanashati ndio wewe sasa?Auntiee upo eeh πππππ embu kula chuma hicho ππππView attachment 2702455