Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
Hizi mbinu zako zilifeli since day one, unarudia tena vilevileCute Wife njoo kwangu bana huyu jamaa anakuchukulia poa
Hizi mbinu zako zilifeli since day one, unarudia tena vilevileCute Wife njoo kwangu bana huyu jamaa anakuchukulia poa
ndio sikati tamaa, we mzembeHizi mbinu zako zilifeli since day one, unarudia tena vilevile
Sijaelewa kabisa nn wamaanishaKhee nguruwe pita sina mkuki mie......@cute wife mchukue kantri wako
Nishakua mzembe sio?ndio sikati tamaa, we mzembe
ndio.Nishakua mzembe sio?
Sijui ni hiki kinywaji kimepanda kumkichwaSijaelewa kabisa nn wamaanisha
Nitakutukana matusi ya mviringo [emoji38]
Nikukute huko umeshayamwagaUsinitukane shogaangu nakufungulia ss hivi [emoji23][emoji23][emoji23]
Huo urafiki wenu hautadumu. Nipo pale nimekaa
[emoji1787]Sawa mtabiri tambitambi
Cocastic hapana, nimejilazimisha kumkubali lakini nimeshindwa
Kwa mara nyingine nasikitika sana
Sio mambo zangu hizo. Mimi kazi yangu kuweka marks, if it's good nitasema and if it's bad nitasema[emoji1787]
OkBasi nenda kwa unaowakubali
Km umemchoka tuachie sisi Asumoneeeeeyy
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa mara ya kwanza mtu aanapenda boga bila ua lake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hanibabaishi mbwa ukimjua jina wala hakupi shida
Mzee wa capital city [emoji7][emoji7][emoji7]
Nasikitika nguvu kazi ya taifa imepotea[emoji30][emoji30]Kichwa kikubwa kusikitika unaweza kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]