Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji3][emoji3]Kuna watu hz story wanazichukulia serious kabisa wanajua kweli
Me nilikuwaga naingia kama guest nasoma nasepa almost 10yrs
Nikaona napitwa na mengi wacha niingie uwanjani[emoji38][emoji38][emoji38]

Lakini watu wananjunjana kweli humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

We km huamini jiweke kwa mtu kwa utani utaona utakavyoandamwa
 
Kuna mtu tulitaniana kwenye uzi wake
Kidemu fulani kikanifata pm eti we na fulani Kuna nini kati yenu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ndyo kustuka kumbe Kuna couple humu
🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Aseeew ntaanguka kwenye kiti mimi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Mmmh nani huyo mwenye wivu mpaka kufa duuuh

Aseee kumbe hata wanawake mna njaa ya mahusiano eeeh duuh sikujuaga
 
Kuna mtu tulitaniana kwenye uzi wake
Kidemu fulani kikanifata pm eti we na fulani Kuna nini kati yenu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ndyo kustuka kumbe Kuna couple humu

Si umeona watu walivyo vichaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi wengine wananiuliza Kantri ni kweli DC? Unajua nachekaga na nilivyo kichaa sasa nawajibu, β€œHapa niko naye kwenye V8” ebooh kuchoshana tyuuu
 
Lakini watu wananjunjana kweli humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

We km huamini jiweke kwa mtu kwa utani utaona utakavyoandamwa
We ulikuwa hujui auntiee. πŸ˜…πŸ˜…

Tena wakijunjana wanafungua uzi kuelezea walivyokuwa wangongwa na location zao na magonjwa waliyopata.

Kama watoto wa form 2 kumbe wamama kabisa wakunizaa. 🀣🀣🀣🀣

Mi nilikuwa nashangaa kabisa.

Duuuh alafu wanadanganyiwa kupewa mtaji wa biashara na kununuliwa bia za weeknd. 🀣🀣🀣🀣🀣

INAITWA KUPATIKANA KWA MACHANGUDOA. πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

SEMA NI CHEAP SANA MPUNGA WAKO UBAYA NI GRADE E
 

Njaa kali [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Si umeona watu walivyo vichaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi wengine wananiuliza Kantri ni kweli DC? Unajua nachekaga na nilivyo kichaa sasa nawajibu, β€œHapa niko naye kwenye V8” ebooh kuchoshana tyuuu
Unataka wapasuke 😁😁😁😁😁😁kumbe hata hamjuani
 
Nakunao ndugu mjumbe
 
Wengine hatuna njaa ya chochote Mungu alitubariki mapema sana
Tupo humu kujichanganya na watu na kupata different experience...we don't take things serious
 
Sema kaka unatuharibia kijiwe hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…